Je, kuhimiza haki na utawala wa sheria ni kuvuruga amani? Rais Samia ameteleza

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Waliokuja Tanzania walikuja kusikiliza kesi ya Lissu, kila mmoja anajua, wakazuiwa airport sio kwa muujibu wa sheria za nchi bali ni kwa matamko ya mamlaka wanadai wamekuja kufanya vurugu, hawakuja na bunduki, hawakuwa na mapanga, hawakuwa na kitu gani halafu Samia unasema wamekuja kufanya vurugu sijui kama unajua unachokiongea.

Nimekusikia pia una sema umoja wa mataifa na watetezi wa haki za binadamu kukwambia uzingatie utawala wa kisheria na haki, wewe unakuja kusema kuwa wanaingilia nchi sijui wanataka kufanya vurugu, mbona wakikusifia usemi wanaingilia Tanzania ?

Mbona wakikupa misaada usemi wanaingilia Tanzania, kwa maana hiyo hii kesi ya lissu inatia wasi wasi kuwa ni ya samia, maana kitu walicho kihamasisha watetezi wa haki za binadamu ndio cha lissu sio kuchoma moto ikulu, sio kumteka Abdul walisema hivi " Mamlaka ya Tanzania inapaswa kusimamia haki na utawala wa kisheria" sasa hizi ni vurugu za wapi alafu unadai unalinda nchi wewe ni mtu wa aina gani ?

Samia unapaswa kuacha kugeuza mambo ili kukwepa sheria za nchi na kutafuta visingizio wewe ukipewa hata tuzo na dunia wanakuwa hawaingilii Tanzania, wakija waarabu kutwaa rasilimali za Tanzania wanakuwa hawaingilii Tanzania, ila ukiambiwa masuala ya kidemokrasia na haki unaanza kuita ni vurugu acha kutumia majeshi yetu vibaya.

Pia soma > Rais Samia: Vyombo vya ulinzi na usalama msiruhusu watovu wa nidhamu (wanaharakati) wa nchi nyingine kuja kutovuka nchini
 
Walio kuja Tanzania walikuja kusikiliza kesi ya lissu, kila mmoja anajua, wakazuiwa airport sio kwa muujibu wa sheria za nchi bali ni kwa matamko ya mamlaka wanadai wamekuja kufanya vurugu, hawakuja na bunduki, hawakuwa na mapanga, hawakuwa na kitu gani alafu samia unasema wamekuja kufanya vurugu sijui kama unajua unachokiongea.

Nimekusikia pia una sema umoja wa mataifa na watetezi wa haki za binadamu kukwambia uzingatie utawala wa kisheria na haki, wewe unakuja kusema kuwa wanaingilia nchi sijui wanataka kufanya vurugu, mbona wakikusifia usemi wanaingilia Tanzania ?

Mbona wakikupa misaada usemi wanaingilia Tanzania, kwa maana hiyo hii kesi ya lissu inatia wasi wasi kuwa ni ya samia, maana kitu walicho kihamasisha watetezi wa haki za binadamu ndio cha lissu sio kuchoma moto ikulu, sio kumteka Abdul walisema hivi " Mamlaka ya Tanzania inapaswa kusimamia haki na utawala wa kisheria" sasa hizi ni vurugu za wapi alafu unadai unalinda nchi wewe ni mtu wa aina gani ?

Samia unapaswa kuacha kugeuza mambo ili kukwepa sheria za nchi na kutafuta visingizio wewe ukipewa hata tuzo na dunia wanakuwa hawaingilii Tanzania, wakija waarabu kutwaa rasilimali za Tanzania wanakuwa hawaingilii Tanzania, ila ukiambiwa masuala ya kidemokrasia na haki unaanza kuita ni vurugu acha kutumia majeshi yetu vibaya.
MamaSamia2025 kashikwa pabaya sana aisee.
 
uropokaji wa matha karua mwezi uliopita, na kitendo cha kuropoka kwa kuingilia uhuru wa mahakama, kuingilia siasa za ccm na chadema, pamoja na kumvunjia Rais heshima, ni vitendo vya kukosa adabu na daima havita vumilika Tanzania.

Namshauri matha karua asiingizwe mkenge na kubebwa ufala kifikra na maria sarungi kuhusu mambo ya siasa za Tanzania :NoGodNo:
 
Wewe na rais wako mnafanana akili
 
Mwizi, muuaji, mnyama na bandidu kamwe hawezi kukubali haki wala mambo ya kumfanya akose nafasi ya kuiba na kudhuru wengine. Tuna raisi wa hovyo
 
uropokaji wa matha karua mwezi uliopita, na kitendo cha kuropoka kwa kuingilia uhuru wa mahakama, kuingilia siasa za ccm na chadema, pamoja na kumvunjia Rais heshima, ni vitendo vya kukosa adabu na daima havita vumilika Tanzania.

Namshauri matha karua asiingizwe mkenge na kubebwa ufala kifikra na maria sarungi kuhusu mambo ya siasa za Tanzania :NoGodNo:
Sawa sawa
 
Kama taifa naamini tunazo changamoto zetu;
Nionavyo mimi hata uwezo wa kutafsiri mambo mbalimbali ni somo gumu.
Pale mahakamani mabarozi wameruhusiwa kuingia, mimi nawaza tu, what if Marther Karua angeruhusiwa kuingia nchini, kwanza hata mimi nisingejua. na kama ni taarifa zetu kutoka nje, suala la Lissu ni Karua ndio alizipeleka kwa Bunge la nchi za Umoja wa Ulaya? Ni mawazo yangu tu, Ni imani yangu kwamba makelele yote haya yaliyoanza tangu jana yasingekua na nguvu kama watu hawa wangeruhusiwa kuingia. sasa hivi Africa yote inajua.
katika haya nimuambie tu mama katika watu wako wa karibu wapo wanaokimezea mate hicho kiti,
Ni mawazo yangu tu.
 
Ni lini wanaharakati wenu walienda uganda kusikiliza kesi ya Besigye... Mkuu kila nchi ina mipaka yake yakwetu hayawahusu waropokee kwao ila sio kuropokea ndani ya mipaka yetu.
hawakwenda na sio walienda wakazuiwa, kwa mtizamo wako mdogo upo sahihi kuona watetezi hawa wa haki za binadamu wanao pigania haki za baba yako na mama yako na mke wako kuwa hawana maana yoyote,,
 
Mke, baba, mama na watoto ninao hapa kwangu na hawajui kinachoendelea Kenya na hawanampango nitake radhi....
 
Nikutake radhi kwani nime kutukana wapi au hujui watetezi wa haki za binadamu kuhamasisha mabadiliko ya kisheria na utawala bora Tanzania wanagusa hadi mama yangu na mama yako, baba yangu na baba yako, wanapotoa misaada wanagusa watoto wako sio mpaka wataje majina yenu au waje kukugongea mlango kwako wanatoa kupitia jina la nchi yetu.
 
Back
Top Bottom