Je, kuhimiza haki na utawala wa sheria ni kuvuruga amani? Rais Samia ameteleza

Waliokuja Tanzania walikuja kusikiliza kesi ya Lissu, kila mmoja anajua, wakazuiwa airport sio kwa muujibu wa sheria za nchi bali ni kwa matamko ya mamlaka wanadai wamekuja kufanya vurugu, hawakuja na bunduki, hawakuwa na mapanga, hawakuwa na kitu gani halafu Samia unasema wamekuja kufanya vurugu sijui kama unajua unachokiongea.

Nimekusikia pia una sema umoja wa mataifa na watetezi wa haki za binadamu kukwambia uzingatie utawala wa kisheria na haki, wewe unakuja kusema kuwa wanaingilia nchi sijui wanataka kufanya vurugu, mbona wakikusifia usemi wanaingilia Tanzania ?

Mbona wakikupa misaada usemi wanaingilia Tanzania, kwa maana hiyo hii kesi ya lissu inatia wasi wasi kuwa ni ya samia, maana kitu walicho kihamasisha watetezi wa haki za binadamu ndio cha lissu sio kuchoma moto ikulu, sio kumteka Abdul walisema hivi " Mamlaka ya Tanzania inapaswa kusimamia haki na utawala wa kisheria" sasa hizi ni vurugu za wapi alafu unadai unalinda nchi wewe ni mtu wa aina gani ?

Samia unapaswa kuacha kugeuza mambo ili kukwepa sheria za nchi na kutafuta visingizio wewe ukipewa hata tuzo na dunia wanakuwa hawaingilii Tanzania, wakija waarabu kutwaa rasilimali za Tanzania wanakuwa hawaingilii Tanzania, ila ukiambiwa masuala ya kidemokrasia na haki unaanza kuita ni vurugu acha kutumia majeshi yetu vibaya.

Pia soma > Rais Samia: Vyombo vya ulinzi na usalama msiruhusu watovu wa nidhamu (wanaharakati) wa nchi nyingine kuja kutovuka nchini
We ngedere kajijambie huko viache vyombo vya usalama vifanye kazi yake. Halafu ujue Tz siyo km Kenya.
 
Nina wasi wasi na elimu yako hivyo upo sahihi kuniita mimi ninae pigania haki zako ni ngedere lakini haibadilishi uhalisia wangu kuwa mimi ni mkubwa sana kuliko wewe.
 
Mnatumia wafanyakazi maskini wanaitwa vyombo vya ulinzi police kuumizana weusi kwa weusi kisa mdaraka kwa ajili ya kurida wachache waendelee kufaidi nchi Afrika safari ndefu
We ngedere kajijambie huko viache vyombo vya usalama vifanye kazi yake. Halafu ujue Tz siyo km Kenya.
 
Watu wanapaza sauti kutetea Wanyomge wanaoonewa
Yeye anasema Kuchochea vurugu.

Wacha aendelee kushupaza shingo...
 
Huyu Dereva ni wa kuhukumiwa akishamaliza udereva wake.
 
Waliokuja Tanzania walikuja kusikiliza kesi ya Lissu, kila mmoja anajua, wakazuiwa airport sio kwa muujibu wa sheria za nchi bali ni kwa matamko ya mamlaka wanadai wamekuja kufanya vurugu, hawakuja na bunduki, hawakuwa na mapanga, hawakuwa na kitu gani halafu Samia unasema wamekuja kufanya vurugu sijui kama unajua unachokiongea.

Nimekusikia pia una sema umoja wa mataifa na watetezi wa haki za binadamu kukwambia uzingatie utawala wa kisheria na haki, wewe unakuja kusema kuwa wanaingilia nchi sijui wanataka kufanya vurugu, mbona wakikusifia usemi wanaingilia Tanzania ?

Mbona wakikupa misaada usemi wanaingilia Tanzania, kwa maana hiyo hii kesi ya lissu inatia wasi wasi kuwa ni ya samia, maana kitu walicho kihamasisha watetezi wa haki za binadamu ndio cha lissu sio kuchoma moto ikulu, sio kumteka Abdul walisema hivi " Mamlaka ya Tanzania inapaswa kusimamia haki na utawala wa kisheria" sasa hizi ni vurugu za wapi alafu unadai unalinda nchi wewe ni mtu wa aina gani ?

Samia unapaswa kuacha kugeuza mambo ili kukwepa sheria za nchi na kutafuta visingizio wewe ukipewa hata tuzo na dunia wanakuwa hawaingilii Tanzania, wakija waarabu kutwaa rasilimali za Tanzania wanakuwa hawaingilii Tanzania, ila ukiambiwa masuala ya kidemokrasia na haki unaanza kuita ni vurugu acha kutumia majeshi yetu vibaya.

Pia soma > Rais Samia: Vyombo vya ulinzi na usalama msiruhusu watovu wa nidhamu (wanaharakati) wa nchi nyingine kuja kutovuka nchini
Mstaafu akienda kushuhudia chaguzi Kenya, Nigeria n.k anakuwa anaenda kuleta vurugu au kuingilia uchaguzi wa Ndani wa nchi hizo.??
 
Back
Top Bottom