Bwana Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 4,401
- 9,555
Kwa kauli ile ya rais napata mashaka na usalama wa wakosoaji hapa JF.
Hatutishiki tunasimama mstari wa mbele kuwapigania watanzaniaKwa kauli ile ya rais napata mashaka na usalama wa wakosoaji hapa JF.
mapambano yaendleeKuna vitu vinasikitisha sana...
Mwisho wa siku unajiuliza hivi sisi Waafrika tutaweza kweli kuendelwa kama fikra zetu zipo mgando kiasi hiki!
Mama kanuka na amechafuka, halafu anafutia UKUTANI yaaani.! Ni hivi Kiza basigeye alihulikana zamani, hakujeruhiwa kama LISSU, LISSU ANA NYOTA KAALI SANA, NI SIMBA ALIYEJERUHIWA, ANATEMBEA NA MKUKI, ANAVUJA DAMU, ANAKOPITA DAMU YAKE INAMWAGIKA, HARUFU YAKE NI KALI SANA .. HUYU SIMBA ANAPAMBANA NA JOKA LINALOMEZA WATU NA SI WANYAMA WENGINE, watu wanajua hili JOKA ni kubwa saaana! Wanapambana na wameamua kuliua hata Kwa kulipondaNi lini wanaharakati wenu walienda uganda kusikiliza kesi ya Besigye... Mkuu kila nchi ina mipaka yake yakwetu hayawahusu waropokee kwao ila sio kuropokea ndani ya mipaka yetu.
Mama kanuka na amechafuka, halafu anafutia UKUTANI yaaani.! Ni hivi Kiza basigeye alihulikana zamani, hakujeruhiwa kama LISSU, LISSU ANA NYOTA KAALI SANA, NI SIMBA ALIYEJERUHIWA, ANATEMBEA NA MKUKI, ANAVUJA DAMU, ANAKOPITA DAMU YAKE INAMWAGIKA, HARUFU YAKE NI KALI SANA .. HUYU SIMBA ANAPAMBANA NA JOKA LINALOMEZA WATU NA SI WANYAMA WENGINE, watu wanajua hili JOKA ni kubwa saaana! Wanapambana na wameamua kuliua hata Kwa kulipondaNikutake radhi kwani nime kutukana wapi au hujui watetezi wa haki za binadamu kuhamasisha mabadiliko ya kisheria na utawala bora Tanzania wanagusa hadi mama yangu na mama yako, baba yangu na baba yako, wanapotoa misaada wanagusa watoto wako sio mpaka wataje majina yenu au waje kukugongea mlango kwako wanatoa kupitia jina la nchi yetu.
Nchi imepatwa na kupatikana, ila itavuka ni swala la mda tu ,asema BwanaWaliokuja Tanzania walikuja kusikiliza kesi ya Lissu, kila mmoja anajua, wakazuiwa airport sio kwa muujibu wa sheria za nchi bali ni kwa matamko ya mamlaka wanadai wamekuja kufanya vurugu, hawakuja na bunduki, hawakuwa na mapanga, hawakuwa na kitu gani halafu Samia unasema wamekuja kufanya vurugu sijui kama unajua unachokiongea.
Nimekusikia pia una sema umoja wa mataifa na watetezi wa haki za binadamu kukwambia uzingatie utawala wa kisheria na haki, wewe unakuja kusema kuwa wanaingilia nchi sijui wanataka kufanya vurugu, mbona wakikusifia usemi wanaingilia Tanzania ?
Mbona wakikupa misaada usemi wanaingilia Tanzania, kwa maana hiyo hii kesi ya lissu inatia wasi wasi kuwa ni ya samia, maana kitu walicho kihamasisha watetezi wa haki za binadamu ndio cha lissu sio kuchoma moto ikulu, sio kumteka Abdul walisema hivi " Mamlaka ya Tanzania inapaswa kusimamia haki na utawala wa kisheria" sasa hizi ni vurugu za wapi alafu unadai unalinda nchi wewe ni mtu wa aina gani ?
Samia unapaswa kuacha kugeuza mambo ili kukwepa sheria za nchi na kutafuta visingizio wewe ukipewa hata tuzo na dunia wanakuwa hawaingilii Tanzania, wakija waarabu kutwaa rasilimali za Tanzania wanakuwa hawaingilii Tanzania, ila ukiambiwa masuala ya kidemokrasia na haki unaanza kuita ni vurugu acha kutumia majeshi yetu vibaya.
Pia soma > Rais Samia: Vyombo vya ulinzi na usalama msiruhusu watovu wa nidhamu (wanaharakati) wa nchi nyingine kuja kutovuka nchini
Sasa mtetezi wa haki za binadamu pale ni nani mkuu unajua tofauti ya utetezi wa haki za binadamu na unaharakati au uanasiasa... Martha karua ni nani kayi ya hayo....Nikutake radhi kwani nime kutukana wapi au hujui watetezi wa haki za binadamu kuhamasisha mabadiliko ya kisheria na utawala bora Tanzania wanagusa hadi mama yangu na mama yako, baba yangu na baba yako, wanapotoa misaada wanagusa watoto wako sio mpaka wataje majina yenu au waje kukugongea mlango kwako wanatoa kupitia jina la nchi yet
Utasikitika siku ukija kuujua ukweli na sio muda ngoja uchaguzi upite.Mama kanuka na amechafuka, halafu anafutia UKUTANI yaaani.! Ni hivi Kiza basigeye alihulikana zamani, hakujeruhiwa kama LISSU, LISSU ANA NYOTA KAALI SANA, NI SIMBA ALIYEJERUHIWA, ANATEMBEA NA MKUKI, ANAVUJA DAMU, ANAKOPITA DAMU YAKE INAMWAGIKA, HARUFU YAKE NI KALI SANA .. HUYU SIMBA ANAPAMBANA NA JOKA LINALOMEZA WATU NA SI WANYAMA WENGINE, watu wanajua hili JOKA ni kubwa saaana! Wanapambana na wameamua kuliua hata Kwa kuliponda
yaani wewe takataka wa chimba unye huko ndio wakumshauri martha karuauropokaji wa matha karua mwezi uliopita, na kitendo cha kuropoka kwa kuingilia uhuru wa mahakama, kuingilia siasa za ccm na chadema, pamoja na kumvunjia Rais heshima, ni vitendo vya kukosa adabu na daima havita vumilika Tanzania.
Namshauri matha karua asiingizwe mkenge na kubebwa ufala kifikra na maria sarungi kuhusu mambo ya siasa za Tanzania![]()
That's how tunahitaji mabadiliko, no reform no election 💯Waliokuja Tanzania walikuja kusikiliza kesi ya Lissu, kila mmoja anajua, wakazuiwa airport sio kwa muujibu wa sheria za nchi bali ni kwa matamko ya mamlaka wanadai wamekuja kufanya vurugu, hawakuja na bunduki, hawakuwa na mapanga, hawakuwa na kitu gani halafu Samia unasema wamekuja kufanya vurugu sijui kama unajua unachokiongea.
Nimekusikia pia una sema umoja wa mataifa na watetezi wa haki za binadamu kukwambia uzingatie utawala wa kisheria na haki, wewe unakuja kusema kuwa wanaingilia nchi sijui wanataka kufanya vurugu, mbona wakikusifia usemi wanaingilia Tanzania ?
Mbona wakikupa misaada usemi wanaingilia Tanzania, kwa maana hiyo hii kesi ya lissu inatia wasi wasi kuwa ni ya samia, maana kitu walicho kihamasisha watetezi wa haki za binadamu ndio cha lissu sio kuchoma moto ikulu, sio kumteka Abdul walisema hivi " Mamlaka ya Tanzania inapaswa kusimamia haki na utawala wa kisheria" sasa hizi ni vurugu za wapi alafu unadai unalinda nchi wewe ni mtu wa aina gani ?
Samia unapaswa kuacha kugeuza mambo ili kukwepa sheria za nchi na kutafuta visingizio wewe ukipewa hata tuzo na dunia wanakuwa hawaingilii Tanzania, wakija waarabu kutwaa rasilimali za Tanzania wanakuwa hawaingilii Tanzania, ila ukiambiwa masuala ya kidemokrasia na haki unaanza kuita ni vurugu acha kutumia majeshi yetu vibaya.
Pia soma > Rais Samia: Vyombo vya ulinzi na usalama msiruhusu watovu wa nidhamu (wanaharakati) wa nchi nyingine kuja kutovuka nchini
Hivi unakijua unacho kiongea nina wasi wasi na elimu yakoSasa mtetezi wa haki za binadamu pale ni nani mkuu unajua tofauti ya utetezi wa haki za binadamu na unaharakati au uanasiasa... Martha karua ni nani kayi ya hayo....
Watanzania mmeshindwa kupigania yenu mpaka ahe awasaidie wakati GenZ wanauawa na kutupwa kwenye madampo ya taka ni mtanzania gani alienda kwao? TLS ilikua wapi walitoa hata tamko?? Leo wamekua wa maana sanaaa??
Brother.... Hayupo mwanasiasa mkweli iliwemo huyo leo mnaemtetea nyuma ya pazia yapo mengi ambayo tulio nyuma ya keyboard hatujui
Utasikitika siku ukija kuujua ukweli na sio muda ngoja uchaguzi upite.
Hivi unakijua unacho kiongea nina wasi wasi na elimu yako
watetezi wa haki za binadamu ni jumuiya kubwa duniani na sio inahusiana na kenya tu naona hoja yako kubwa ni kenya huyo mkenya ni sehemu ya jumuiya hiyo ya kimataifa umeelewa?Samahani mkuu... Mwenye elimu nipe mafaniko ya huyo mtetezi wa haki za binadamu nchi Kenya
Kwa elimu yako pia nadhani umeshasikiliza mahojiano yake na kipi anasema kuhusu EAC ikiwemo nchini kwake.
yaani mtu ambae haaminiki wala hakubaliki mpaka nyumbani kwake na chama chake halafu anakuja kuilecture Tanzania namna ya kuendesha mambo yake? that's nonsense gentleman 🐒yaani wewe takataka wa chimba unye huko ndio wakumshauri martha karua
Karua alikua kama taasii au kama Martha Mkuu??watetezi wa haki za binadamu ni jumuiya kubwa duniani na sio inahusiana na kenya tu naona hoja yako kubwa ni kenya huyo mkenya ni sehemu ya jumuiya hiyo ya kimataifa umeelewa?
sizani kama ushawai hata kufika Kenya ninawasi wasi na jinsi unavyoropoka kuhusu utambulisho wa huyo mtuyaani mtu ambae haaminiki wala hakubaliki mpaka nyumbani kwake na chama chake halafu anakuja kuilecture Tanzania namna ya kuendesha mambo yake? that's nonsense gentleman 🐒
nimefundisha vyuo vikuu kadhaa Kenya gentleman 🐒sizani kama ushawai hata kufika Kenya ninawasi wasi na jinsi unavyoropoka kuhusu utambulisho wa huyo mtu