Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
MamaSamia2025 kashikwa pabaya sana aisee.Walio kuja Tanzania walikuja kusikiliza kesi ya lissu, kila mmoja anajua, wakazuiwa airport sio kwa muujibu wa sheria za nchi bali ni kwa matamko ya mamlaka wanadai wamekuja kufanya vurugu, hawakuja na bunduki, hawakuwa na mapanga, hawakuwa na kitu gani alafu samia unasema wamekuja kufanya vurugu sijui kama unajua unachokiongea.
Nimekusikia pia una sema umoja wa mataifa na watetezi wa haki za binadamu kukwambia uzingatie utawala wa kisheria na haki, wewe unakuja kusema kuwa wanaingilia nchi sijui wanataka kufanya vurugu, mbona wakikusifia usemi wanaingilia Tanzania ?
Mbona wakikupa misaada usemi wanaingilia Tanzania, kwa maana hiyo hii kesi ya lissu inatia wasi wasi kuwa ni ya samia, maana kitu walicho kihamasisha watetezi wa haki za binadamu ndio cha lissu sio kuchoma moto ikulu, sio kumteka Abdul walisema hivi " Mamlaka ya Tanzania inapaswa kusimamia haki na utawala wa kisheria" sasa hizi ni vurugu za wapi alafu unadai unalinda nchi wewe ni mtu wa aina gani ?
Samia unapaswa kuacha kugeuza mambo ili kukwepa sheria za nchi na kutafuta visingizio wewe ukipewa hata tuzo na dunia wanakuwa hawaingilii Tanzania, wakija waarabu kutwaa rasilimali za Tanzania wanakuwa hawaingilii Tanzania, ila ukiambiwa masuala ya kidemokrasia na haki unaanza kuita ni vurugu acha kutumia majeshi yetu vibaya.
uropokaji wa matha karua mwezi uliopita, na kitendo cha kuropoka kwa kuingilia uhuru wa mahakama, kuingilia siasa za ccm na chadema, pamoja na kumvunjia Rais heshima, ni vitendo vya kukosa adabu na daima havita vumilika Tanzania.Walio kuja Tanzania walikuja kusikiliza kesi ya lissu, kila mmoja anajua, wakazuiwa airport sio kwa muujibu wa sheria za nchi bali ni kwa matamko ya mamlaka wanadai wamekuja kufanya vurugu, hawakuja na bunduki, hawakuwa na mapanga, hawakuwa na kitu gani alafu samia unasema wamekuja kufanya vurugu sijui kama unajua unachokiongea.
Nimekusikia pia una sema umoja wa mataifa na watetezi wa haki za binadamu kukwambia uzingatie utawala wa kisheria na haki, wewe unakuja kusema kuwa wanaingilia nchi sijui wanataka kufanya vurugu, mbona wakikusifia usemi wanaingilia Tanzania ?
Mbona wakikupa misaada usemi wanaingilia Tanzania, kwa maana hiyo hii kesi ya lissu inatia wasi wasi kuwa ni ya samia, maana kitu walicho kihamasisha watetezi wa haki za binadamu ndio cha lissu sio kuchoma moto ikulu, sio kumteka Abdul walisema hivi " Mamlaka ya Tanzania inapaswa kusimamia haki na utawala wa kisheria" sasa hizi ni vurugu za wapi alafu unadai unalinda nchi wewe ni mtu wa aina gani ?
Samia unapaswa kuacha kugeuza mambo ili kukwepa sheria za nchi na kutafuta visingizio wewe ukipewa hata tuzo na dunia wanakuwa hawaingilii Tanzania, wakija waarabu kutwaa rasilimali za Tanzania wanakuwa hawaingilii Tanzania, ila ukiambiwa masuala ya kidemokrasia na haki unaanza kuita ni vurugu acha kutumia majeshi yetu vibaya.
Wewe na rais wako mnafanana akiliuropokaji wa matha karua mwezi uliopita, na kitendo cha kuropoka kwa kuingilia uhuru wa mahakama, kuingilia siasa za ccm na chadema, pamoja na kumvunjia Rais heshima, ni vitendo vya kukosa adabu na daima havita vumilika Tanzania.
Namshauri matha karua asiingizwe mkenge na kubebwa ufala kifikra na maria sarungi kuhusu mambo ya siasa za Tanzania
Mwizi, muuaji, mnyama na bandidu kamwe hawezi kukubali haki wala mambo ya kumfanya akose nafasi ya kuiba na kudhuru wengine. Tuna raisi wa hovyoWalio kuja Tanzania walikuja kusikiliza kesi ya lissu, kila mmoja anajua, wakazuiwa airport sio kwa muujibu wa sheria za nchi bali ni kwa matamko ya mamlaka wanadai wamekuja kufanya vurugu, hawakuja na bunduki, hawakuwa na mapanga, hawakuwa na kitu gani alafu samia unasema wamekuja kufanya vurugu sijui kama unajua unachokiongea.
Nimekusikia pia una sema umoja wa mataifa na watetezi wa haki za binadamu kukwambia uzingatie utawala wa kisheria na haki, wewe unakuja kusema kuwa wanaingilia nchi sijui wanataka kufanya vurugu, mbona wakikusifia usemi wanaingilia Tanzania ?
Mbona wakikupa misaada usemi wanaingilia Tanzania, kwa maana hiyo hii kesi ya lissu inatia wasi wasi kuwa ni ya samia, maana kitu walicho kihamasisha watetezi wa haki za binadamu ndio cha lissu sio kuchoma moto ikulu, sio kumteka Abdul walisema hivi " Mamlaka ya Tanzania inapaswa kusimamia haki na utawala wa kisheria" sasa hizi ni vurugu za wapi alafu unadai unalinda nchi wewe ni mtu wa aina gani ?
Samia unapaswa kuacha kugeuza mambo ili kukwepa sheria za nchi na kutafuta visingizio wewe ukipewa hata tuzo na dunia wanakuwa hawaingilii Tanzania, wakija waarabu kutwaa rasilimali za Tanzania wanakuwa hawaingilii Tanzania, ila ukiambiwa masuala ya kidemokrasia na haki unaanza kuita ni vurugu acha kutumia majeshi yetu vibaya.
Sawa sawauropokaji wa matha karua mwezi uliopita, na kitendo cha kuropoka kwa kuingilia uhuru wa mahakama, kuingilia siasa za ccm na chadema, pamoja na kumvunjia Rais heshima, ni vitendo vya kukosa adabu na daima havita vumilika Tanzania.
Namshauri matha karua asiingizwe mkenge na kubebwa ufala kifikra na maria sarungi kuhusu mambo ya siasa za Tanzania
hawakwenda na sio walienda wakazuiwa, kwa mtizamo wako mdogo upo sahihi kuona watetezi hawa wa haki za binadamu wanao pigania haki za baba yako na mama yako na mke wako kuwa hawana maana yoyote,,Ni lini wanaharakati wenu walienda uganda kusikiliza kesi ya Besigye... Mkuu kila nchi ina mipaka yake yakwetu hayawahusu waropokee kwao ila sio kuropokea ndani ya mipaka yetu.
Nikutake radhi kwani nime kutukana wapi au hujui watetezi wa haki za binadamu kuhamasisha mabadiliko ya kisheria na utawala bora Tanzania wanagusa hadi mama yangu na mama yako, baba yangu na baba yako, wanapotoa misaada wanagusa watoto wako sio mpaka wataje majina yenu au waje kukugongea mlango kwako wanatoa kupitia jina la nchi yetu.Mke, baba, mama na watoto ninao hapa kwangu na hawajui kinachoendelea Kenya na hawanampango nitake radhi....