Je, kuhimiza haki na utawala wa sheria ni kuvuruga amani? Rais Samia ameteleza

Kuna vitu vinasikitisha sana...

Mwisho wa siku unajiuliza hivi sisi Waafrika tutaweza kweli kuendelea kama fikra zetu zipo mgando kiasi hiki!
 
Kuna vitu vinasikitisha sana...

Mwisho wa siku unajiuliza hivi sisi Waafrika tutaweza kweli kuendelwa kama fikra zetu zipo mgando kiasi hiki!
mapambano yaendlee
 
Ni lini wanaharakati wenu walienda uganda kusikiliza kesi ya Besigye... Mkuu kila nchi ina mipaka yake yakwetu hayawahusu waropokee kwao ila sio kuropokea ndani ya mipaka yetu.
Mama kanuka na amechafuka, halafu anafutia UKUTANI yaaani.! Ni hivi Kiza basigeye alihulikana zamani, hakujeruhiwa kama LISSU, LISSU ANA NYOTA KAALI SANA, NI SIMBA ALIYEJERUHIWA, ANATEMBEA NA MKUKI, ANAVUJA DAMU, ANAKOPITA DAMU YAKE INAMWAGIKA, HARUFU YAKE NI KALI SANA .. HUYU SIMBA ANAPAMBANA NA JOKA LINALOMEZA WATU NA SI WANYAMA WENGINE, watu wanajua hili JOKA ni kubwa saaana! Wanapambana na wameamua kuliua hata Kwa kuliponda
 
Madikteta mara zote ni waoga sana pia wepesi wa kulaumu na kujitetea.
 
Nchi imepatwa na kupatikana, ila itavuka ni swala la mda tu ,asema Bwana
 
Sasa mtetezi wa haki za binadamu pale ni nani mkuu unajua tofauti ya utetezi wa haki za binadamu na unaharakati au uanasiasa... Martha karua ni nani kayi ya hayo....

Watanzania mmeshindwa kupigania yenu mpaka ahe awasaidie wakati GenZ wanauawa na kutupwa kwenye madampo ya taka ni mtanzania gani alienda kwao? TLS ilikua wapi walitoa hata tamko?? Leo wamekua wa maana sanaaa??

Brother.... Hayupo mwanasiasa mkweli iliwemo huyo leo mnaemtetea nyuma ya pazia yapo mengi ambayo tulio nyuma ya keyboard hatujui
Utasikitika siku ukija kuujua ukweli na sio muda ngoja uchaguzi upite.
 
yaani wewe takataka wa chimba unye huko ndio wakumshauri martha karua
 
That's how tunahitaji mabadiliko, no reform no election πŸ’―
 
Hivi unakijua unacho kiongea nina wasi wasi na elimu yako
 
Samahani mkuu... Mwenye elimu nipe mafaniko ya huyo mtetezi wa haki za binadamu nchi Kenya

Kwa elimu yako pia nadhani umeshasikiliza mahojiano yake na kipi anasema kuhusu EAC ikiwemo nchini kwake.

watetezi wa haki za binadamu ni jumuiya kubwa duniani na sio inahusiana na kenya tu naona hoja yako kubwa ni kenya huyo mkenya ni sehemu ya jumuiya hiyo ya kimataifa umeelewa?
 
yaani wewe takataka wa chimba unye huko ndio wakumshauri martha karua
yaani mtu ambae haaminiki wala hakubaliki mpaka nyumbani kwake na chama chake halafu anakuja kuilecture Tanzania namna ya kuendesha mambo yake? that's nonsense gentleman πŸ’
 
watetezi wa haki za binadamu ni jumuiya kubwa duniani na sio inahusiana na kenya tu naona hoja yako kubwa ni kenya huyo mkenya ni sehemu ya jumuiya hiyo ya kimataifa umeelewa?
Karua alikua kama taasii au kama Martha Mkuu??
 
yaani mtu ambae haaminiki wala hakubaliki mpaka nyumbani kwake na chama chake halafu anakuja kuilecture Tanzania namna ya kuendesha mambo yake? that's nonsense gentleman πŸ’
sizani kama ushawai hata kufika Kenya ninawasi wasi na jinsi unavyoropoka kuhusu utambulisho wa huyo mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…