Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kuna baadhi ya kada huapa kiapo cha utii kwa Rais. Je, iwapo ikatokea mtu mwenye kiapo hiki amegomea uteuzi alioteliwa na Rais, je anaweza kuchukuliwa kama mhaini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna muujizaKuna Nini kimetokea huko🤔🤔🤔
Walimu hawana kiapo cha utii kwa Rais. Wenye kiapo cha utii kwa Rais ni majeshi na secret service..hapana.
..kuna jamaa mmoja aliteuliwa na Mwalimu Nyerere kuwa DC akakataa.
..aliendelea na kazi yake ya ualimu baadae Mwalimu Nyerere alimteua kuwa Kamishna wa Elimu.
Walimu hawana kiapo cha utii kwa Rais. Wenye kiapo cha utii kwa Rais ni majeshi na secret service
Ukiwa na kiapo cha utii kwa rais, ukikiuka wewe ni Mhaini. Uliza kilichimkuta ImraniKuna baadhi ya kada huapa kiapo cha utii kwa Rais. Je iwapo ikatokea mtu mwenye kiapo hiki amegomea uteuzi alioteliwa na Rais, je anaweza kuchukuliwa kama mhaini?
Ni lini au ni wakati gani walimu wanaapa kiapo cha utii kwa Rais?..huwa hawakatai, bali humuomba Raisi awafikirie kwa nafasi tofauti.
..hapana.
..kuna jamaa mmoja aliteuliwa na Mwalimu Nyerere kuwa DC akakataa.
..aliendelea na kazi yake ya ualimu baadae Mwalimu Nyerere alimteua kuwa Kamishna wa Elimu.
🤐🤐🤐🤐 Narudii narudii kutoka mbali sasa unikaribishe Bwana narudiWalimu hawana kiapo cha utii kwa Rais. Wenye kiapo cha utii kwa Rais ni majeshi na secret service
Imrani ilikuwajeUkiwa na kiapo cha utii kwa rais, ukikiuka wewe ni Mhaini. Uliza kilichimkuta Imrani
Ni lini au ni wakati gani walimu wanaapa kiapo cha utii kwa Rais?
Karibu sana sheikh, chukua jamvi ukae kwa kutulia🤐🤐🤐🤐 Narudii narudii kutoka mbali sasa unikaribishe Bwana narudi
Nimetulia kimya nikiacha wazee na hekima zao watupe madini tushibishe ubongo tukalinde ukuta tu huko🤔Karibu sana sheikh, chukua jamvi ukae kwa kutulia