Je, kukataa uteuzi wa Rais kunaweza kuchukuliwa kama uhaini?

Makosa yanayohusishwa na uhaini yapo kwenye Katiba ya JMT, hilo la kukataa uteuzi halipo miongoni mwake.

..nadhani hili swali ni complex kidogo na huenda halikustahili kuulizwa ktk mazingira ya kilichotokea.

..Ni kweli askari wanakula kiapo kwa amiri jeshi mkuu.

..sasa huu uteuzi sidhani kama unahusiana na mambo ya kiuaskari ambayo wahusika wamekula kiapo kumtii amiri jeshi mkuu.

..pia naamini amiri jeshi mkuu naye hayuko juu ya sheria kwamba kila amri anayotoa ni halali.

..vipi ikiwa amiri jeshi ametoa amri ambayo si halali, je, askari anatakiwa kuitii?
 
Kuna baadhi ya kada huapa kiapo cha utii kwa Rais. Je iwapo ikatokea mtu mwenye kiapo hiki amegomea uteuzi alioteliwa na Rais, je anaweza kuchukuliwa kama mhaini?
"Mhaini" kwa nani, huyo aliyemteua, au kwa nchi?

Tunapoanza kumpa mtu mmoja hadhi ya kuwa mmiliki wa nchi, na kumwona yeye ndiyo mkuu zaidi ya nchi yenyewe, hapo ndipo makosa yanapoanzia
 
..nadhani hili swali ni complex kidogo na huenda halikustahili kuulizwa ktk mazingira ya kilichotokea.

..Ni kweli askari wanakula kiapo kwa amiri jeshi mkuu.

..sasa huu uteuzi sidhani kama unahusiana na mambo ya kiuaskari ambayo wahusika wamekula kiapo kumtii amiri jeshi mkuu.

..pia naamini amiri jeshi mkuu naye hayuko juu ya sheria kwamba kila amri anayotoa ni halali.

..vipi ikiwa amiri jeshi ametoa amri ambayo si halali, je, askari anatakiwa kuitii?
Jeshini kuna kanuni mbili tu.
1. A boss is always right.
2. If a boss goes wrong, go to principle no. 1
 
Rejea katiba unafahamu makosa ya uhaini ni yapi
 
Kuna baadhi ya kada huapa kiapo cha utii kwa Rais. Je iwapo ikatokea mtu mwenye kiapo hiki amegomea uteuzi alioteliwa na Rais, je anaweza kuchukuliwa kama mhaini?
Kuna jamaa alikataa uteuzi wa JIWE, yule mwamba namheshimu saana japo mesahau jina lake, najiuliza alipata wapi ujasiri wa kumgomea JPJM?
 
Back
Top Bottom