Je, kukataa uteuzi wa Rais kunaweza kuchukuliwa kama uhaini?

Je, kukataa uteuzi wa Rais kunaweza kuchukuliwa kama uhaini?

Kuna baadhi ya kada huapa kiapo cha utii kwa Rais. Je, iwapo ikatokea mtu mwenye kiapo hiki amegomea uteuzi alioteliwa na Rais, je anaweza kuchukuliwa kama mhaini?
na mpaka anteuliwa kisha anakataa, ina maana huwa hawajajulishwa, mashauriano yakafanyika na wakakubali? Kama ni kushtukizana si sahihi hata kidogo.
 
Back
Top Bottom