Je, kukataa uteuzi wa Rais kunaweza kuchukuliwa kama uhaini?

..huwa hawakatai, bali humuomba Raisi awafikirie kwa nafasi tofauti.
Ni lini au ni wakati gani walimu wanaapa kiapo cha utii kwa Rais?
..hapana.

..kuna jamaa mmoja aliteuliwa na Mwalimu Nyerere kuwa DC akakataa.

..aliendelea na kazi yake ya ualimu baadae Mwalimu Nyerere alimteua kuwa Kamishna wa Elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…