Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,717
- 13,443
Watu wa idara ya usalama kwa mfano, huwa hawastaafu, hata ukiambiwa umestaafu bado wewe ni usalama tu na unaweza kuhitajika kufanya hili ama lile...pia yuko bwana mmoja wakati wa mzee mwinyi alikuwa balozi uganda akateuliwa kuwa mkuu wa itifaki " akakataa" uteuzi huo.
Una ushahidi kuwa wamekataa?Nimeona Kuna baadhi ya viongozi wamekataa teuzi baada Ya Rais kuwateua je hii ikoje kisheria? Kwan Rais ni mwajiri namba moja,ni utovu WA nidhamu,vilevile inakuwaje Taasisi kubwa kama Rais iteue WATUMISHI ambao ni waajiriwa WA chama Cha walimu?je Hawa waliogoma wamegoma Kwa masilahi ya Walimu?au ukuu WA wilaya hauna ulaji? Na kule Kuna ulaji? Naomba kuwasilisha
We jamaa ni Mwalimu kabisaHakuna sheria yoyote inayombana mtu kwenye nafasi za kuteuliwa iwe ni lazima ukubali hiyo nafasi, ukuu wa wilaya ni nafasi ya kisiasa sio profession kama ualimu, sio kila mtu ananjaa na kubembeleza watawala Kuna wengine wanaheshimu kile walichokisomea. Mwajiri namba moja sio Rais ni mkurugenzi maana hao ni walimu, acheni janjajanja ya kusema Rais ni Mwajiri namba moja kwenye mkataba wa ualimu Hakuna kipengere hicho, walio jaza mikataba ya ajira ya ualimu chini ya TSC inaelekezwa kuwa Mwajiri wa mwalimu ni mkurugenzi Sasa hawawezi kuwa na waajiri zaidi ya mmoja hakunaga kitu kama hicho
Kukataa uteuzi sio kosa kisheria wala sio dhambi....Uzalendo ni zaidi ya kukubali teuzi.Lakini kumgomea Rais ni jambo ambalo linatakiwa kukomeshwa na iwe mfano Kwa wengine. Uzalendo ni pamoja na kutii mamlaka za nchi bila kujali maslahi Kama alivofanya pole pole.
Ni Ushindi wakati wa kampeni au fedha kutumika kwa wingi wakati wa uchaguzi ndio kunafanya hawa viongozi wamgomee Amiri Jeshi Mkuu?Nilivyosoma nimeelewa kwamba hawa wote ni Viongozi wa kuchaguliwa kule chama cha Walimu. Wameandika ni Mwenyekiti, Katibu na .. . Binafsi naamini hawajakataa bali kuna taratibu yafaa zifanyike. Hawa huchaguliwa tena kwa gharana kubwa szna yacwawakilishi kutoka Mikoa na Wilata zote tena kila baada ya miaka 5. Kampong zao HD kushinda si mchezo, hadi kura za maruhan hutumika sometime.
Uteuzi wao wawezasababisha gharama kubwa kwa chama kufanya uchaguzi mwingine su vyovyote vile.
Naamini kwa kuwa wote wanawajibika kwa niaba ya serikali suala hili litawekwa sawa tu.
Sent from my SM-G977B using JamiiForums mobile app
Tatizo lipo ktk mfumo wa teuzi za kisiasa za serikali hii zilizo na chembe chembe za udikteta, ubaguzi na upendeleo.Nijuavyo ni kuwa hakuna Sheria ya Moja Kwa Moja inayowabana. Lakini kumgomea Rais ni jambo ambalo linatakiwa kukomeshwa na iwe mfano Kwa wengine. Uzalendo ni pamoja na kutii mamlaka za nchi bila kujali maslahi Kama alivofanya pole pole.
Hao ndugu hawatamaliza mwaka kwenye hizo nafasi zao. Hili ni kutokana na wao kuwa na makando kando kwenye taasisi hiyo. Wataonekana ni mashujaa Kwa muda lakini watasimulia mpaka wajukuu.
Ndio kukataa kwenyewe huko. Mteue bakhresa kuwa DC uone!!!?..huwa hawakatai, bali humuomba Raisi awafikirie kwa nafasi tofauti.
IpoHata idara ya usalama wa Taifa haimo kwenye katiba, licha ya kwamba majeshi mengine yapo
OK, sehemu gani? Sheria ya Usalama wa Taifa iliyosainiwa na Mkapa mwaka 1996 ndiyo ilikuwa official document ya kwanza kuitambua idara hiyo.
Yupo kwao Morogoro mapumziko na simu kazimaNgoja nimcheki Kibatala
Hapana. Uteuzi siyo kutumwa jambo, mtu anayeteuliwa kufanya kazi anatakiwa aridhie ule uteuzi kama yuko tayari na ana uwezo wa kutekeleza majukumu mapya. Uteuzi siyo adhabu.Kuna baadhi ya kada huapa kiapo cha utii kwa Rais. Je iwapo ikatokea mtu mwenye kiapo hiki amegomea uteuzi alioteliwa na Rais, je anaweza kuchukuliwa kama mhaini?
haujaelewa swali..hapana.
..kuna jamaa mmoja aliteuliwa na Mwalimu Nyerere kuwa DC akakataa.
..aliendelea na kazi yake ya ualimu baadae Mwalimu Nyerere alimteua kuwa Kamishna wa Elimu.
WANAJESHI, MAASKARI, MAAFISA USALAMA NADHANI PIAKuna baadhi ya kada huapa kiapo cha utii kwa Rais. Je, iwapo ikatokea mtu mwenye kiapo hiki amegomea uteuzi alioteliwa na Rais, je anaweza kuchukuliwa kama mhaini?