Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Jan 31, 2023 Thread starter #81 Shujaa Mwendazake said: WANAJESHI, MAASKARI, MAAFISA USALAMA NADHANI PIA Click to expand... Hakika
Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,266 Reaction score 8,085 Jan 31, 2023 #82 Bujibuji Simba Nyamaume said: Kuna baadhi ya kada huapa kiapo cha utii kwa Rais. Je, iwapo ikatokea mtu mwenye kiapo hiki amegomea uteuzi alioteliwa na Rais, je anaweza kuchukuliwa kama mhaini? Click to expand... na mpaka anteuliwa kisha anakataa, ina maana huwa hawajajulishwa, mashauriano yakafanyika na wakakubali? Kama ni kushtukizana si sahihi hata kidogo.
Bujibuji Simba Nyamaume said: Kuna baadhi ya kada huapa kiapo cha utii kwa Rais. Je, iwapo ikatokea mtu mwenye kiapo hiki amegomea uteuzi alioteliwa na Rais, je anaweza kuchukuliwa kama mhaini? Click to expand... na mpaka anteuliwa kisha anakataa, ina maana huwa hawajajulishwa, mashauriano yakafanyika na wakakubali? Kama ni kushtukizana si sahihi hata kidogo.
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Aug 17, 2023 #83 Erythrocyte said: Ngoja nimcheki Kibatala Click to expand... Fanya haraka