APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,715
Habari zenu....
Katika maisha yangu nilijiapia sitakuja kumpiga mwanamke,mwanamke pekee niliyempiga tena kwa kumnyoosha ni mdogo wangu tu?
Kipindi alikuwa anavunja ungo alikuwa asikii la mtu mimi ndo niliyemnyoosha kama nisingekuwa mimi ndo alikuwa anaenda kuharibu maisha yake kwa kubeba mimba akiwa mdogo.
Nimekuwa na uhusiano na wanawake wengi sana,lakini sijawahi kumpiga mwanamke yeyote niliyekuwa naye,walikuwa wananikwanza lakini nimejitahidi kujikaza nisishushe dozi.
Mwanamke anakufosi kwa nguvu humpe kichapo,lakini huwa najikaza sana,anakutukana na kukudharau kwa kuwa humpi dozi la ngumi.
Kuna mwanamke wa mbeya ninayeishi naye,yani sio powah mwanamke yule anakera sana,yani sema mimi najuwa kujicontrol laiti ningekuwa mzembe leo hii ningekuwa jela,maana mwanamke anagombana na wewe kama anakuweza vile.
Je nauliza ndugu zangu nianze kutembeza dozi?? AU niendelee na busara zangu??wanawake wa mbeya sio wa kuoa kabisa,yani ni wababe alafu hawajui kuheshimu wanaume. Kama huna busara jela itakuhusu tu..
APROXIMATELY...