APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,715
- Thread starter
- #41
Ndo ngumi zinanza hivyo,broo hivi ushawahi kuishi na mwanamke wa kinyakyusa??Mmmmmmh apo sasa itabid uongeze la piliš¤
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo ngumi zinanza hivyo,broo hivi ushawahi kuishi na mwanamke wa kinyakyusa??Mmmmmmh apo sasa itabid uongeze la piliš¤
Inafuatana nawe ukoje,una mume ndani kama Bujibuji Simba Nyamaume ....jina tu hata kumjibu huwez,akisema Sina,haya baba,chukua Asante babaMimi nawakubali sana ila unakera sana@cheni ubabe bana
Yani hapo ndo huwa nawaza sana ndo maana simpigi hata kofi,mwanamke anasimama na wewe kama dume mwenzako,uki gombana naye anakimbilia kusema nitavunja kila kitu ndani sasa hapo pamekaajeTuishi nao kwa akili...
Kuna wengine ni maiti watembeao, unaweza mgusa ukajikuta gerezani.
DaaaahInafuatana nawe ukoje,una mume ndani kama Bujibuji Simba Nyamaume ....jina tu hata kumjibu huwez,akisema Sina,haya baba,chukua Asante baba
Ndugu wengi nao ni shida....Mimi nipo na mdogo wangu mmoja tu na mama nani wa kumsumbua mume wangu,labda nishindwe mimiKweli yani anSemaga watoto wangu naondoka nao,hivi kwanini nyie unapenda kuwaingilia ndugu zenu kwenye mahusiano yao??unakuta dada na kaka wanamcontrol mdogo wao wanamuambia achana na huyo mwanaume sisi tutakulea
inategemea na aina ya mwanamke, aina ya malezi aliyoyapata, na maeneo aliyoishi... kwa uzoefu wangu wa maisha wanawake wa Tanzania wanapenda ugomvi wa maneno ili mwanaume ampige walau kidogo (sio sana) hiyo ina maana yake muhimu kwa wanawake wengi wa Tanzania japo sio wote, Mwanaume huyo huyo akifanya hivyo kwa mwanamke wa Kenya ugomvi utakaoibuka hapo ni wakupigana waanawake wa kule wanapenda sana kupigana ... huku canada ukimpiga mwanamke utajikuta na hatia mbaya maana huku wanawake wanathamani kuliko wanaume... hapa juzi kati nilimpiga mchepuko wangu wa kizungu kofi kilichonipata sitaki hata kusimulia nimemua kushinda ndani tu wikiendi hii nikisoma biblia.. ni kashesheeee...Habari zenu....
Katika maisha yangu nilijiapia sitakuja kumpiga mwanamke,mwanamke pekee niliyempiga tena kwa kumnyoosha ni mdogo wangu tu??kipindi alikuwa anavunja ungo alikuwa asikii la mtu mimi ndo niliyemnyoosha kama nisingekuwa mimi ndo alikuwa anaenda kuharibu maisha yake kwa kubeba mimba akiwa mdogo.
Nimekuwa na uhusiano na wanawake wengi sana,lakini sijawahi kumpiga mwanamke yeyote niliyekuwa naye,walikuwa wananikwanza lakini nimejitahidi kujikaza nisishushe dozi.
Mwanamke anakufosi kwa nguvu humpe kichapo,lakini huwa najikaza sana,anakutukana na kukudharau kwa kuwa humpi dozi la ngumi.
Kuna mwanamke wa mbeya ninayeishi naye,yani sio powah mwanamke yule anakera sana,yani sema mimi najuwa kujicontrol laiti ningekuwa mzembe leo hii ningekuwa jela,maana mwanamke anagombana na wewe kama anakuweza vile.
Je nauliza ndugu zangu nianze kutembeza dozi?? AU niendelee na busara zangu??wanawake wa mbeya sio wa kuoa kabisa,yani ni wababe alafu hawajui kuheshimu wanaume.kama huna busara jela itakuhusu tu..
APROXIMATELY...
Da Evelyn Salt itakuwa alimchokoza hubby wakeHivi kuna wanawake bado wanapigwa zama hizi? Aisee
Tatizo mind set ajaiweka sawa,tunatakiwa tuoe wanawake walioenda shule hata kidogo,Ndugu wengi nao ni shida....Mimi nipo na mdogo wangu mmoja tu na mama nani wa kumsumbua mume wangu,labda nishindwe mimi
Kwan wako hajaenda Kwa shule?Tatizo mind set ajaiweka sawa,tunatakiwa tuoe wanawake walioenda shule hata kidogo,
Huwezi amini asubuhi tumeamka ananuiliza "what happened hadi nikakupiga" okay tulikua tumekunywa ila sio sababu wala.... Kwakweli hii kitu imeniachia traumaDa Evelyn Salt itakuwa alimchokoza hubby wake
Achilia, samehe ili usahau.Huwezi amini asubuhi tumeamka ananuiliza "what happened hadi nikakupiga" okay tulikua tumekunywa ila sio sababu wala.... Kwakweli hii kitu imeniachia trauma
magonjwa now days yapo mengi unakuta mtu anaugonjwa ndani unapompiga tu kumbe umehamsha tatizo matibabu yake utajuta kwanini umempigainategemea na aina ya mwanamke, aina ya malezi aliyoyapata, na maeneo aliyoishi... kwa uzoefu wangu wa maisha wanawake wa Tanzania wanapenda ugomvi wa maneno ili mwanaume ampige walau kidogo (sio sana) hiyo ina maana yake muhimu kwa wanawake wengi wa Tanzania japo sio wote, Mwanaume huyo huyo akifanya hivyo kwa mwanamke wa Kenya ugomvi utakaoibuka hapo ni wakupigana waanawake wa kule wanapenda sana kupigana ... huku canada ukimpiga mwanamke utajikuta na hatia mbaya maana huku wanawake wanathamani kuliko wanaume... hapa juzi kati nilimpiga mchepuko wangu wa kizungu kofi kilichonipata sitaki hata kusimulia nimemua kushinda ndani tu wikiendi hii nikisoma biblia.. ni kashesheeee...
Shule hata ajamaliza sec,nikasema ngoja nitafute ambaye ajasoma,mimi nimesoma kwahiyo nitamcontrol wahi kumbe nilitafuta pepo yani hapa nataka hawa watoto wakue japo kidogo nimfundishe maisha yakoje,maana nayoyawaza kichwani ni revoluationKwan wako hajaenda Kwa shule?
Wanaume tumeumbwa na ukatili fulani kiasili.. kikubwa ni kujua wapi pa kutumia nguvu za mwili, wapi pa kutumia nguvu ya kinywa kumrekebisha..magonjwa now days yapo mengi unakuta mtu anaugonjwa ndani unapompiga tu kumbe umehamsha tatizo matibabu yake utajuta kwanini umempiga
sema wanyakyu hayo mashepu yenu ndo yanawafanya mnakua na mdomoHata binti was Kaz wa kinyakyu uwe umejipanga
Jikaze msamehe kama analea familia,kama halei usimpe tamuNilikuaga najiuliza hivi watu mnawezaje kupendana mkapigana, nlikua sijawahi kuelewa....mwaka jana November kwa mara ya kwanza Mme alinipiga kibao nilibaki š³š³š³ nilishtuka kwakweli, na tarehe 10.01.2023 amenipiga kwangu hii sio fundisho bali naona ni ukatili, sioni nilichojifunza zaidi ya kupata trauma na kila niliona scar hasira zinanipanda naona na hisia zangu zinapotea kabisa......
Nimejizoea mi kuwa na nyege nae siku saba za wiki, ila kwa sasa haya nyege nazo zimekata kabisa sijui hali itaendelea hadi lini sijui.
Hapana mkuušsema wanyakyu hayo mashepu yenu ndo yanawafanya mnakua na mdomo
Aaaaahhh aaaahh ni wababe haoooo kinomaNdo ngumi zinanza hivyo,broo hivi ushawahi kuishi na mwanamke wa kinyakyusa??
Mda ambao utanyanyua mkono kumpiga mwanamke ndo mda utaonikuta jela,hawa wa dada wa siku hizi wanajifunza mengi kwenye simu zao yani broo usijefanya hivi otherwise achana naye tu'Beat your wife regularly; if you don't know why, she will.'
African Proverbs