Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Hisia, Kwakweli kila nikikumbuka hiyo siku najiskia wa tofauti kabisa....Jikaze msamehe kama analea familia,kama halei usimpe tamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hisia, Kwakweli kila nikikumbuka hiyo siku najiskia wa tofauti kabisa....Jikaze msamehe kama analea familia,kama halei usimpe tamu
Shetani atachukulia point hapoHisia, Kwakweli kila nikikumbuka hiyo siku najiskia wa tofauti kabisa....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em sema kweli Evee.Nilikuaga najiuliza hivi watu mnawezaje kupendana mkapigana, nlikua sijawahi kuelewa....mwaka jana November kwa mara ya kwanza Mme alinipiga kibao nilibaki [emoji15][emoji15][emoji15] nilishtuka kwakweli, na tarehe 10.01.2023 amenipiga kwangu hii sio fundisho bali naona ni ukatili, sioni nilichojifunza zaidi ya kupata trauma na kila niliona scar hasira zinanipanda naona na hisia zangu zinapotea kabisa......
Nimejizoea mi kuwa na nyege nae siku saba za wiki, ila kwa sasa hata nyege nazo zimekata kabisa sijui hali itaendelea hadi lini sijui.
Ulifanya maamuzi memaNilishawahi kupiga mtoto wa mtu mpaka macho yalijifunga wiki nzima lakini aliendelea na tabia zake. Kuepusha kubadilshana majengo ya mama ilibidi nipite kushoto nae apite kulia
Sio vyema kumnyima mtu chakula,maana hayo ni mavi
Hahaha nimecheka ...
Kuna jamaa mmoja alifanya kwa mkewake Kama ulivyo shauri akamtimua mke wake, mke katoka kwa jeuri kaenda kuliwa na jamaa nje huko kapata ukimwi kwa usiku mmoja tu.
Mpka leo mwanaume na mwanamke wanajutia siku ile moja tu
Mkuu ni jamii ya wafugaji niniMimi naona hapa sisi vijana wa sasa tunakosea sana,kipindi nakuwa nilishuhudia babu yangu anampiga bibi yangu tena kichapo cha maana,bibi anapiga uwiii uwiii lakini hakuna mtoto aliyekuwa anaingilia hata siku moja,hapo bibi alikuwa anawajukuu wakubwa tu,mwanamke nilazima apigwe tu lasivyo kizazi hiki kitakuwa cha ajabu sana
Lini ulikuwa na nyege akiwa amefulia?Nilikuaga najiuliza hivi watu mnawezaje kupendana mkapigana, nlikua sijawahi kuelewa....mwaka jana November kwa mara ya kwanza Mme alinipiga kibao nilibaki [emoji15][emoji15][emoji15] nilishtuka kwakweli, na tarehe 10.01.2023 amenipiga kwangu hii sio fundisho bali naona ni ukatili, sioni nilichojifunza zaidi ya kupata trauma na kila niliona scar hasira zinanipanda naona na hisia zangu zinapotea kabisa......
Nimejizoea mi kuwa na nyege nae siku saba za wiki, ila kwa sasa hata nyege nazo zimekata kabisa sijui hali itaendelea hadi lini sijui.
Sijawahi, we ndio huwa una nyege nae....poa kwaheriLini ulikuwa na nyege akiwa amefulia?
Ke kwa unafki hata shetani anawasubiri.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijawahi, we ndio huwa una nyege nae....poa kwaheri
WamasaiMkuu ni jamii ya wafugaji nini
Tukana matusi yooote hainipunguzii chochote maana huenda ni mwanangu uliyezaliwa miaka ya 2000 isipokuwa fake ID inakupumbaza akili.Sijawahi, we ndio huwa una nyege nae....poa kwaheri
Labda nitakuwa nimevuka mipaka kuandika hivi. Natanguliza appology madam. Kuna thread ya mwaka jana. Sikumbuki vizuri lakin uliandika "hatuachi mapenzi mpaka yatuue". What you speak is what you become madam. What you declare is what is created..most of the times. Unaweza kuwa uliandika hapa kama comment for fun af ukawa umeipotezea kumbe kuna jambo likaumbika.Hisia, Kwakweli kila nikikumbuka hiyo siku najiskia wa tofauti kabisa....
Njia gani izo?Sijawahi kumpiga mwanamke kwenye kumbukumbu za maisha yangu jinsi navyo waonaona wamelegea naona Kama nikimgusa ntamuua, hao kuna njia nyingi ya kuwaadhibu tofauti na kipigo
mwanaume mwenye tabia ya kumpiga mkewe hana nguvu za kiume za kutosha mwanamke akifikishwa kileleni ipaswavio lazima atakuwa na utii tuMm Dem wangu kipindi hicho kabla hajawa mke wangu rasmi.. niliwahi kumpa kichapo Zaid ya mala mbili kwa awamu tofauti ndani ya miaka 3.
From my experience kichapo kilimsaidia yeye kutambua mipaka yake na kua nanidhamu kwangu Mimi.
Kuna mda hua anajisahau Sana namkumbusha namwambia Kama amemiss kupigwa Tena akisikia hivyo anajirekebisha ila si Kama akipiga.
So kwamba napenda kumpiga ila kuna mda nikama hua anasababisha napandishwa hasira najikuta tu imetokea.
Mwanamke ana utoto unao takiwa kudhibitiwa... Ila usipige kumuumiza kua makini na mkono wako