Je, kumpiga mwanamke,kwenye uhusiano kunaongeza heshima au kunavuruga upendo ndani?

Tuishi nao kwa akili...

Kuna wengine ni maiti watembeao, unaweza mgusa ukajikuta gerezani.
Yani hapo ndo huwa nawaza sana ndo maana simpigi hata kofi,mwanamke anasimama na wewe kama dume mwenzako,uki gombana naye anakimbilia kusema nitavunja kila kitu ndani sasa hapo pamekaaje
 
Kweli yani anSemaga watoto wangu naondoka nao,hivi kwanini nyie unapenda kuwaingilia ndugu zenu kwenye mahusiano yao??unakuta dada na kaka wanamcontrol mdogo wao wanamuambia achana na huyo mwanaume sisi tutakulea
Ndugu wengi nao ni shida....Mimi nipo na mdogo wangu mmoja tu na mama nani wa kumsumbua mume wangu,labda nishindwe mimi
 
inategemea na aina ya mwanamke, aina ya malezi aliyoyapata, na maeneo aliyoishi... kwa uzoefu wangu wa maisha wanawake wa Tanzania wanapenda ugomvi wa maneno ili mwanaume ampige walau kidogo (sio sana) hiyo ina maana yake muhimu kwa wanawake wengi wa Tanzania japo sio wote, Mwanaume huyo huyo akifanya hivyo kwa mwanamke wa Kenya ugomvi utakaoibuka hapo ni wakupigana waanawake wa kule wanapenda sana kupigana ... huku canada ukimpiga mwanamke utajikuta na hatia mbaya maana huku wanawake wanathamani kuliko wanaume... hapa juzi kati nilimpiga mchepuko wangu wa kizungu kofi kilichonipata sitaki hata kusimulia nimemua kushinda ndani tu wikiendi hii nikisoma biblia.. ni kashesheeee...
 
Ndugu wengi nao ni shida....Mimi nipo na mdogo wangu mmoja tu na mama nani wa kumsumbua mume wangu,labda nishindwe mimi
Tatizo mind set ajaiweka sawa,tunatakiwa tuoe wanawake walioenda shule hata kidogo,
 
Huwezi amini asubuhi tumeamka ananuiliza "what happened hadi nikakupiga" okay tulikua tumekunywa ila sio sababu wala.... Kwakweli hii kitu imeniachia trauma
Achilia, samehe ili usahau.
 
magonjwa now days yapo mengi unakuta mtu anaugonjwa ndani unapompiga tu kumbe umehamsha tatizo matibabu yake utajuta kwanini umempiga
 
Kwan wako hajaenda Kwa shule?
Shule hata ajamaliza sec,nikasema ngoja nitafute ambaye ajasoma,mimi nimesoma kwahiyo nitamcontrol wahi kumbe nilitafuta pepo yani hapa nataka hawa watoto wakue japo kidogo nimfundishe maisha yakoje,maana nayoyawaza kichwani ni revoluation
 
magonjwa now days yapo mengi unakuta mtu anaugonjwa ndani unapompiga tu kumbe umehamsha tatizo matibabu yake utajuta kwanini umempiga
Wanaume tumeumbwa na ukatili fulani kiasili.. kikubwa ni kujua wapi pa kutumia nguvu za mwili, wapi pa kutumia nguvu ya kinywa kumrekebisha..
 
Jikaze msamehe kama analea familia,kama halei usimpe tamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…