Je, kumpiga mwanamke,kwenye uhusiano kunaongeza heshima au kunavuruga upendo ndani?

Eti wanasema sasa hivi piganeni kimya kimya ndani mkitoka njee hakuna anayejua yaliyoendelea ndani mnacheka,sasa hao wanao uwana kila siku imekaaje hiyo??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em sema kweli Evee.
 
Nyie wa dada wa kinyakyusa ndo umemfilisi bro mali zake,pale mlipo ambia mahakama eti kipindi ana mimba brother alikuwa anakula tako,hiyo kesi imemfilisi sana kaka
 
Hahaha nimecheka ...

Kuna jamaa mmoja alifanya kwa mkewake Kama ulivyo shauri akamtimua mke wake, mke katoka kwa jeuri kaenda kuliwa na jamaa nje huko kapata ukimwi kwa usiku mmoja tu.

Mpka leo mwanaume na mwanamke wanajutia siku ile moja tu

Inategemea Mkuu
Mwanamke Mwingine kama ana Stress Hawezi kwenda Kutoa Uchi Nje!
na Kama Amefanya Kosa!
Ni Kumnyima Tuu chakula
 
Mkuu ni jamii ya wafugaji nini
 
Lini ulikuwa na nyege akiwa amefulia?

Ke kwa unafki hata shetani anawasubiri.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Sijawahi kumpiga mwanamke kwenye kumbukumbu za maisha yangu jinsi navyo waonaona wamelegea naona Kama nikimgusa ntamuua, hao kuna njia nyingi ya kuwaadhibu tofauti na kipigo
 
Sijawahi, we ndio huwa una nyege nae....poa kwaheri
Tukana matusi yooote hainipunguzii chochote maana huenda ni mwanangu uliyezaliwa miaka ya 2000 isipokuwa fake ID inakupumbaza akili.

Ke kwa unafki mmesomea kuzimu kabisa.

Eti mkiwa na ujauzito inakuwa sababu mtuchukie Vidume, ayseee...natafuta sana Ke atayechukia pesa akiwa mjamzito lakini tangu dunia iumbwe haijawahitokea [emoji4]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hisia, Kwakweli kila nikikumbuka hiyo siku najiskia wa tofauti kabisa....
Labda nitakuwa nimevuka mipaka kuandika hivi. Natanguliza appology madam. Kuna thread ya mwaka jana. Sikumbuki vizuri lakin uliandika "hatuachi mapenzi mpaka yatuue". What you speak is what you become madam. What you declare is what is created..most of the times. Unaweza kuwa uliandika hapa kama comment for fun af ukawa umeipotezea kumbe kuna jambo likaumbika.

Katika imani yangu Mungu aliumba ulimwengu kwa neno. Na sisi ni mfano wake. Maneno hata tunayocomment humu yanaweza kuumba something in our life. Am just thinking out loud. Pole lakin for what happened. Kusamehe mwenyewe hutaweza as long as the scar unaiona. Just ask God to pour the grace of forgiveness in your heart. Utaweza. Its hard but its possible...
 
Sijawahi kumpiga mwanamke kwenye kumbukumbu za maisha yangu jinsi navyo waonaona wamelegea naona Kama nikimgusa ntamuua, hao kuna njia nyingi ya kuwaadhibu tofauti na kipigo
Njia gani izo?
 
mwanaume mwenye tabia ya kumpiga mkewe hana nguvu za kiume za kutosha mwanamke akifikishwa kileleni ipaswavio lazima atakuwa na utii tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…