Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Hiyo ni impact ya structural arrangementHabari Wakuu.
Hivi inakuje kuna baadhi ya familia unakuta watoto wote wana akili, wamesoma mpaka level za juu kabisa. Au unakuta familia nyingine karibu wote wana uchumi mzuri, wana biashara kubwa na mafanikio kede kede.
Kwa upande mwingine unakuta familia nyingine watu karibuni wote hawaja fanikiwa kielimu wa kiuchumi. Wana umasikini uliotopea.
Je, hizo familia zinazo kuwa na watu wengi wamefanikiwa ni kuwa wamebarikiwa au ni genetics au nini ndugu wajumbe.
Karibuni kwa michango yenu.
Maagano ya mababu zao yalikuwa vizuri.Habari Wakuu.
Hivi inakuje kuna baadhi ya familia unakuta watoto wote wana akili, wamesoma mpaka level za juu kabisa. Au unakuta familia nyingine karibu wote wana uchumi mzuri, wana biashara kubwa na mafanikio kede kede.
Kwa upande mwingine unakuta familia nyingine watu karibuni wote hawaja fanikiwa kielimu wa kiuchumi. Wana umasikini uliotopea.
Je, hizo familia zinazo kuwa na watu wengi wamefanikiwa ni kuwa wamebarikiwa au ni genetics au nini ndugu wajumbe.
Karibuni kwa michango yenu.
Maana yake Mambo mema yote yanakufuata na kukutokea katika maisha,Hiyo heading siyo sahihi..
Nini maana ya kubarikiwa?
Kalaga baho ni nin?Hiyo ni impact ya structural arrangement
Sijakuelew mkuuKalaga baho ni nin?
Hata mm nasubiri michango ya wadauHabari Wakuu.
Hivi inakuje kuna baadhi ya familia unakuta watoto wote wana akili, wamesoma mpaka level za juu kabisa. Au unakuta familia nyingine karibu wote wana uchumi mzuri, wana biashara kubwa na mafanikio kede kede.
Kwa upande mwingine unakuta familia nyingine watu karibuni wote hawaja fanikiwa kielimu wala kiuchumi. Wana umasikini uliotopea.
Je, hizo familia zinazo kuwa na watu wengi wamefanikiwa ni kuwa wamebarikiwa au ni genetics au nini ndugu wajumbe.
Karibuni kwa michango yenu.
Halafu wote mnashinda JfKwetu sisi wote vipanga.
Kwetu sisi wote wauza mboga.Kwetu sisi wote vipanga.
Kuna familia ya kina Kijazi, Mwapachu.Habari Wakuu.
Hivi inakuje kuna baadhi ya familia unakuta watoto wote wana akili, wamesoma mpaka level za juu kabisa. Au unakuta familia nyingine karibu wote wana uchumi mzuri, wana biashara kubwa na mafanikio kede kede.
Kwa upande mwingine unakuta familia nyingine watu karibuni wote hawaja fanikiwa kielimu wala kiuchumi. Wana umasikini uliotopea.
Je, hizo familia zinazo kuwa na watu wengi wamefanikiwa ni kuwa wamebarikiwa au ni genetics au nini ndugu wajumbe.
Karibuni kwa michango yenu.
Kwamba hawafanyi jitihada zozote yanakuja Tu mema na hawana trial and errorsMaana yake Mambo mema yote yanakufuata na kukutokea katika maisha,