Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Pole Sana souja unaendeleajee nduguMkuu last week nilipata ajali ya pk pk nikaburuza mikono kwenye kokoto uzuri nilivaa helmet.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole Sana souja unaendeleajee nduguMkuu last week nilipata ajali ya pk pk nikaburuza mikono kwenye kokoto uzuri nilivaa helmet.
Pole sana mkuu upate kupona haraka.Mkuu last week nilipata ajali ya pk pk nikaburuza mikono kwenye kokoto uzuri nilivaa helmet.
Na kuzaliwa kwenye familia za aina hii ni bahati pia.Ni kweli unachosema. Familia zenye akili huwa zinajua sana kuepuka vifo vya kizembe na magonjwa ya kizembe. Watu wenye akili huwa wanakwepa sana kufanya high risk things
Vifo vingi vinasababishwa na ujinga na uzembe.
Mfano kuna magonjwa mengi yanayoambukizwa kwa ngono kama HIV, Homa ya ini , kansa ya kizazi etc. Ila bado kuna watu wengi wanafanya mapenzi bila kinga na multiple partners. Unakuta familia nzima ina uraibu wa ngono. Wanaona sifa kuwa na wanawake wengi.
Mfano wa pili boda boda zinaua sana watu. Hivyo kupanda boda boda ni High-risk behavior.
Hivyo Familia zenye akili wanaambiana kabisa ni mwiko kupanda boda boda sababu ni high risk
Pia vyakula ni factor kubwa kwenye kuepuka magonjwa. Familia zenye akili zinajua vyakula gani vizuri kiafya viliwe sana nyumbani na vyakula gani vibaya kiafya visiliwe sana nyumbani.
Pia Familia zenye akili huwa zinamiliki rasilimali na zinazitumia vizuri rasilimali zao. Hii inawaepusha watoto wao ama wazazi kujiingiza kwenye high risk jobs. Kama kazi mbovu za viwandani, umalaya na u bar maids etc.
Mkuu bahati kuzaliwa kwenye familia kama hiyo aliyoandika hapoNa kuzaliwa kwenye familia za aina hii ni bahati pia.
Dadavua mkuuNdio
Interesting!Tenda wema, usidhulumu,usiibe na mpe Mungu haki yake. Nakuhakikishia uzao wako ijapokuwa hutakuwa na muda wa kuusimamia Mungu atausimamia. Mungu ni muaminifu mno. Ukijua hili hutaacha kutenda wema. Ngoja nitoe mfano mmoja. Miaka hiyo najitafuta kukatokea dili flan la viwanja vya ukweli. Na Mimi nikaviitaji. Sasa kulikuwepo watu wengi walilijua lile dili watu wenye hela zao. Zikapelekwa hela za kiume. Sasa Mimi nikapeleka jina tu na sikutegemea chochote kuendana na mazingira yale. Lakin kama ilivyo kawaida yangu mzee wa kujaribu chochote coz ninaamin kila kitu kinawezekana kwa aaminie. Ndio kanuni yangu kuu. Sasa bana mwenye maamuz ya mwisho ni wazir flan. Sasa nashangaa napigiwa simu nikaulizwa wewe ni mtu flan. Nikajibu ndio, nikaambiwa kesho njoo ofisi flan. Nikaenda, kufika secretary kashapewa maagizo. Nikapelekwa kwa Mh, aliniuliza tu swali moja unamjua mtu flan nikamwambia ni marehem baba yangu mdogo. Nikaona wazir anatoa machoz mbele yangu. To cut short story kumbe mzee akiwa katibu ofis flan huyu wazir akiwa kijana mdogo amemaliza chuo hana hili wala lile akaajiriwa ofisini kwa mzee. Na kwasababu hakuwa na kitu mzee alikaa nae kwake miaka 6 Bure bila kutoa chochote,anasema upendo alioupata pale nyumban aliupata kwa Mama yake tu kwao. So baada ya miaka 6 mzee alienda kusoma Canada na hakurud tena mpaka anakuja kufa. Hakuwah kukutana nae au wanae. Nilipewa vile viwanja kwasababu ya wema wa mzee sio kwasababu nilikuwa na hela. Nikakumbuka kuwa Mungu anaweka kumbukumbuk kwaajili ya vizazi. Nilikuja kuwakutanisha na ile familia baadhi walisharud wengine wapo Canada washakuwa raia.
Big point but how?Generational Curses/ Generational Poverty. You can break it endapo uta amua.
Msingi mkuu wa mafanikio yoyote katika familia niHabari Wakuu.
Hivi inakuje kuna baadhi ya familia unakuta watoto wote wana akili, wamesoma mpaka level za juu kabisa. Au unakuta familia nyingine karibu wote wana uchumi mzuri, wana biashara kubwa na mafanikio kede kede.
Kwa upande mwingine unakuta familia nyingine watu karibuni wote hawaja fanikiwa kielimu wala kiuchumi. Wana umasikini uliotopea.
Je, hizo familia zinazo kuwa na watu wengi walio fanikiwa ni kuwa wamebarikiwa au ni genetics au nini ndugu wajumbe.
Karibuni kwa michango yenu.
Ni somo pana kidogo kwa kweliBig point but how?
Bahati kuwa kwenye shida?Ndio
Wapo vizuri.Mfano ni wale Vijazi.
1.Katibu Mkuu Kiongozi (RIP)
2.Boss TMA
3.Boss NCAA
Kweli mkuuMsingi mkuu wa mafanikio yoyote katika familia ni
Kumtanguliza Mungu Mbele
Kuwa serious na masuala ya elimu
Na kujituma
Ni ngumu kukuta familia yenye misingi hiyo halafu haijatoboa, inaweza isiwe kwenye levo ya mamilionea lakini utaona tu mafanikio
Watoto ni product ya wazazi geneticallyHabari Wakuu.
Hivi inakuje kuna baadhi ya familia unakuta watoto wote wana akili, wamesoma mpaka level za juu kabisa. Au unakuta familia nyingine karibu wote wana uchumi mzuri, wana biashara kubwa na mafanikio kede kede.
Kwa upande mwingine unakuta familia nyingine watu karibuni wote hawaja fanikiwa kielimu wala kiuchumi. Wana umasikini uliotopea.
Je, hizo familia zinazo kuwa na watu wengi walio fanikiwa ni kuwa wamebarikiwa au ni genetics au nini ndugu wajumbe.
Karibuni kwa michango yenu.
Sure bro, mbegu ikiwa bora itatoa kilicho bora hasa mazingira nayo yakichangia.Watoto ni product ya wazazi genetically
Mazingira yanachangia pia,ila kama mzazi ana IQ ya kutosha kufanya tu maamuzi ya kumuwekea mtoto mazingira mazuri tayari huyo mzazi ana akili haijalishi aliishiaga la saba au Chuo Kikuu
Mzazi akishakua na intellect ya kufanya maamuzi sahihi kila wakati,basi probability ya watoto kua na intellect ni kubwa
Kikwazo kikubwa ni wazazi kuchaguana ambao hawana akili au hawana genetics bora wote wawili au mmoja wapo
Chanzo kabisa ni wazazi uchaguzi wao wa wenza ndio tatizo namba moja maana ndio inatoa fvcked up kids genetically
Baada ya kupata best genetics then mazingira ni juhudi za wazazi,then the rest ni history.
Watoto walio hovyo mara nyingi wazazi aidha wote au mmojawapo hakuaga na akili naturally hivyo wanatoa inferior offsprings
Binadamu ni animals kama walivyo ng'ombe au chochote,mbegu bora watoto bora,you cant cheat biology.
Mazingira ni juhudi binafsi za kila mzazi sasa
Ni kweli mkuuSure bro, mbegu ikiwa bora itatoa kilicho bora hasa mazingira nayo yakichangia.
Dah kwa wazazi imewauma sana, ila nadhani ni upeo wa kufikiri wa watoto upo chini sana. Pamoja na malezi ya dini lakini haijafua dafu, Ila wangekuwa navyo vyote wangekuwa vizuri sana.Ni kweli mkuu
Mbegu ikishakua bora mazingira ni ya kupambania tu kwa juhudi binafsi,hapo ndipo umuhimu wa maadili na familia imara ambazo hazijavunjika unapofanya kazi
Kuna mzee,naturally hakuaga na akili yeye na mkewe,wataratibu na religion obsessed na kwake maadili full,ila wanae aisee akili ndio hakuna kabisa,wanawake wameishia kua bar attendants na wavulana wawili became bodaboda guys,wazazi are still wondering why