Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
- Thread starter
- #201
Hizi nazo wamejipanga kweli kweli.Kikwete,
Mwinyi,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi nazo wamejipanga kweli kweli.Kikwete,
Mwinyi,
Uko sahihi mleta mada kuna famili hata vifo sio vingi watoto baba bibi ba mababu wote wako hai, katika umri mkubwa, na hizo familiya hakuna magonjwa majongwa yaani mpaka unajiuliza, ilikuwaje familiya fulani watu almost wote walikufa ktk umri mdogo na familiya nyingine wako hai mpaka wajukuu nae wanaanza kuzeeka dah
Ndio boss wengine mjini walikuja hawana hata ndugu wakuwapokea pale ubungo miaka hiyo ndugu wote wapo mashambani uko mjini waje kufanya nini kwaiyo shule ndio zilifanya wafike mjini kwa mala ya kwanza na kwakua walitoka vijijini wakajiapiza kijijini sirudi nakomaa shule ikiisha nabaki mjini kwaiyo kijijini wakawa na matumaini mjini yupo ndugu yao wakaanza kuja salimia na kwakua yupo peke yake mjini wakajiandaa kupokea ndugu zao leo hii uko vijijini imebaki story kama chimbuko maana wote wamekuja mjini na wana maisha kwa sababu aliyewatangulia aliwaminisha shule ndio kila kitu na wakaminiSawa sawa. Mshike sana elimu usimwache aende zake.
Hii nayo nimeiona na huwa ina tafakarisha sana.Uko sahihi mleta mada kuna famili hata vifo sio vingi watoto baba bibi ba mababu wote wako hai, katika umri mkubwa, na hizo familiya hakuna magonjwa majongwa yaani mpaka unajiuliza, ilikuwaje familiya fulani watu almost wote walikufa ktk umri mdogo na familiya nyingine wako hai mpaka wajukuu nae wanaanza kuzeeka dah
Umeeleza ukweli, ukimwi umemaliza familiya nyingi, unakuta kaburi kama kumi kwenye familiya moja yaani naumiaga sana.Ni kweli unachosema. Familia zenye akili huwa zinajua sana kuepuka vifo vya kizembe na magonjwa ya kizembe. Watu wenye akili huwa wanakwepa sana kufanya high risk things
Vifo vingi vinasababishwa na ujinga na uzembe.
Mfano kuna magonjwa mengi yanayoambukizwa kwa ngono kama HIV, Homa ya ini , kansa ya kizazi etc. Ila bado kuna watu wengi wanafanya mapenzi bila kinga na multiple partners. Unakuta familia nzima ina uraibu wa ngono. Wanaona sifa kuwa na wanawake wengi.
Mfano wa pili boda boda zinaua sana watu. Hivyo kupanda boda ni High-risk behavior.
Hivyo Familia zenye akili wanaambiana kabisa ni mwiko kupanda boda boda sababu ni high risk
Pia vyakula ni factor kubwa kwenye kuepuka magonjwa. Familia zenye akili zinajua vyakula gani vizuri kiafya viliwe sana nyumbani na vyakula gani vibaya kiafya visiliwe sana nyumbani.
Pia Familia zenye akili huwa zinamiliki rasilimali na zinazitumia vizuri rasilimali zao. Hii inawaepusha watoto wao ama wazazi kujiingiza kwenye high risk jobs. Kama kazi mbovu za viwandani, umalaya na u bar maids etc.
Kweli mkuu wenye nacho wanazidi kuongezewa na wasio nacho hata kidogo walicho nacho wana nyang'anywa.Halafu kufika chuo kikuu sio kuwa kipanga. Kuna familia very genius lakini mazingira yamewaua.
Elimu na vyeo kwasasa vinanunuliwa kwa fedha na background.
Hivi unajua hata darasa la sana anaweza kufaulu chuo kikuu?
Tengeneza mifumo mizuri katika familia yako kila kitu kinawezekana
Mkuu ukimwi umeondoa watu, kuna kaka mmoja alinisimulia kwa uchungu jinsi familiya mama yake wote walikufa kwa ukimwi, anasema ukoo mzima alibaki bibi yake na mjomba yake mmoja.Hii nayo nimeiona na huwa ina tafakarisha sana.
Kama hii watu wengi hawa take risk kabisa juu ya maisha yao mpaka wewe mwenyewe una mshangaa na kumuonea huruma. Mfano ulevi ulio pindukia na umalaya.Ni kweli unachosema. Familia zenye akili huwa zinajua sana kuepuka vifo vya kizembe na magonjwa ya kizembe. Watu wenye akili huwa wanakwepa sana kufanya high risk things
Vifo vingi vinasababishwa na ujinga na uzembe.
Mfano kuna magonjwa mengi yanayoambukizwa kwa ngono kama HIV, Homa ya ini , kansa ya kizazi etc. Ila bado kuna watu wengi wanafanya mapenzi bila kinga na multiple partners. Unakuta familia nzima ina uraibu wa ngono. Wanaona sifa kuwa na wanawake wengi.
Mfano wa pili boda boda zinaua sana watu. Hivyo kupanda boda ni High-risk behavior.
Hivyo Familia zenye akili wanaambiana kabisa ni mwiko kupanda boda boda sababu ni high risk
Pia vyakula ni factor kubwa kwenye kuepuka magonjwa. Familia zenye akili zinajua vyakula gani vizuri kiafya viliwe sana nyumbani na vyakula gani vibaya kiafya visiliwe sana nyumbani.
Pia Familia zenye akili huwa zinamiliki rasilimali na zinazitumia vizuri rasilimali zao. Hii inawaepusha watoto wao ama wazazi kujiingiza kwenye high risk jobs. Kama kazi mbovu za viwandani, umalaya na u bar maids etc.
Umeeleza ukweli, ukimwi umemaliza familiya nyingi, unakuta kaburi kama kumi kwenye familiya moja yaani naumiaga sana.
😂😂😂Ni kweli inaumiza sana. Halafu Sikujua kama ni wewe
Upo luckline ? Sijakuona muda mrefu kwenye kikao chetu.
Mkuu last week nilipata ajali ya pk pk nikaburuza mikono kwenye kokoto uzuri nilivaa helmet.Nimeanza kutizama Maisha kwa maono tofauti 😊
Mkuu last week nilipata ajali ya pk pk nikaburuza mikono kwenye kokoto uzuri nilivaa helmet.Nimeanza kutizama Maisha kwa maono tofauti 😊
Kuna familia ya kina Kijazi, Mwapachu.
Hawa kina Kijazi mimi nawaitaga vijaza post zao huyu utaambiwa katibu mkuu wa wizara, huyu Mkurugenzi Tanapa huyu siyo katibu mkuu wa nini, hawa nimewavulia kofia.
Kweli mkuu wenye nacho wanazidi kuongezewa na wasio nacho hata kidogo walicho nacho wana nyang'anywa.
Kabisa.Jibu ni moja TU
Wanapeana TAG hakuna kukunjiana
Ukiona familia mmoja TU ndio yupo JUU wengine wapo chini au hawaeleweki jua huyo alie JUU kapiga KOMEO hataki kuwapa TAG wengine wapande JUU km yeye na anataka aonekane yeye TU ndio wa JUU
Hii comment ntaikuta hapa nikiwa na Miaka 79
Na log OUT
Naungana na wewe mkuuKatika mafanikio kuna mambo mengi. Umezaliwa wapi, umekulia wapi, umekutana na nani shule, etc.
Lakini kwa hili la familia mchango mkubwa sana unatoka kwa wazazi, jinsi walivyowalea watoto wao, jinsi walivyo wasimamia katika mambo ya shule, na jinsi wanavyo waongoza kwenye mambo mbalimbali.
Familia nyingi hutelekeza watoto wakimaliza shule either darasa la 7 au fom 4. Hivyo watoto hujikuta wakijifanyia mambo bila mpango na hatimaye kuishia kutokufanikiwa.
K
Kabisa.
Nina Ndugu yangu mmoja amestaafu akiwa brigedia wa JWTZ, kipindi Niko O level wadogo zake wote walikuwa UDSM na huyo Brigedia ndio alikuwa anawasimamia ktk Kila kitu sasa hivi nasikia wako ofisi ya CAG, Uhamiaji na mwingine Tanga Cement na kote huko Wana vyeo vikubwa, huyo Brigedia alikuwa na watoto wawili mmoja ni Afsa wa JW Komando na mwingine Yuko TANAPA.
Mkuu last week nilipata ajali ya pk pk nikaburuza mikono kwenye kokoto uzuri nilivaa helmet.Nimeanza kutizama Maisha kwa maono tofauti 😊
Mkuu last week nilipata ajali ya pk pk nikaburuza mikono kwenye kokoto uzuri nilivaa helmet.