Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
kubarikiwa kupo hivi:Habari Wakuu.
Hivi inakuje kuna baadhi ya familia unakuta watoto wote wana akili, wamesoma mpaka level za juu kabisa. Au unakuta familia nyingine karibu wote wana uchumi mzuri, wana biashara kubwa na mafanikio kede kede.
Kwa upande mwingine unakuta familia nyingine watu karibuni wote hawaja fanikiwa kielimu wala kiuchumi. Wana umasikini uliotopea.
Je, hizo familia zinazo kuwa na watu wengi wamefanikiwa ni kuwa wamebarikiwa au ni genetics au nini ndugu wajumbe.
Karibuni kwa michango yenu.
1.Mizimu yao hipo wapi? mfano mizimu ya utawala,pesa,utajiri n.k
2.Nyota zao
3.vizazi vyao viliendelezwa mfano falme,manabii au matajiri
elimu ndogo sana.sasa we baba yako kachezea pesa alafu kipindi kariakoo kiwanja shilingi 50 unataka kulalamika