Je, kuna baadhi ya Familia zimebarikiwa?

Je, kuna baadhi ya Familia zimebarikiwa?

Ndio nampata nabii Suleimani alikuwa na mali sana huyu.
Screenshot 2024-05-25 154649.png


Nikuonjesha kidogo ila siwezi kukupa code
 
Na ukichunguza familia nyingi zina maagano ya kichawi. Na wanandugu wana vijicho muda wote kurudishana nyuma na kuwangiana.!

Na hatari zaidi ukajichanganya ukaoa au kuolewa kwenye familia ya hivyo, aiseee na wewe utakuwa miongoni mwao
Yes
Kuna watu Wana vijicho njia nzuri ya KUISHI na jamii za aina iyo Ni KUISHI KAMA HAUPO

ELEWA MAANA YA NENO KUISHI KAMA HAUPO..
 
Kuwalea watoto katika mfumo wa kuwa positive

MTU yeyote positive mafanikio huwa ni swala la kugusa tu hii naongea kwa ushuhuda .

Try and error ups and down zipo Ila ukiwa positive hauwezi kutoka katika reli.

To raise a kids to be well successful is to teach them to be positive 24/7
Sawa sawa. Tupe ushuhuda mkuu
 
Habari Wakuu.

Hivi inakuje kuna baadhi ya familia unakuta watoto wote wana akili, wamesoma mpaka level za juu kabisa. Au unakuta familia nyingine karibu wote wana uchumi mzuri, wana biashara kubwa na mafanikio kede kede.

Kwa upande mwingine unakuta familia nyingine watu karibuni wote hawaja fanikiwa kielimu wala kiuchumi. Wana umasikini uliotopea.

Je, hizo familia zinazo kuwa na watu wengi wamefanikiwa ni kuwa wamebarikiwa au ni genetics au nini ndugu wajumbe.

Karibuni kwa michango yenu.
Hii ni vice versa ya kile aliandika mshana kuna familia zina laana. The same thing
 
Mimi Ni mkristo Ila kwenye hii falsafa ya HINDUISM Kuna ya kujifunza

Kuna kitu kinaitwa DEVIL INCARNATION yaan Wana amini Kama ukizaliwa kwenye umaskini au ulemavu au matatizo nikutokana na PAST EXISTENCE YA VIZAZI VYAKO HAVIKUISHI VIZURI IVYO WEWE UNA HUKUMIWA NA UOVU WA YOUR PAST EXISTENCES

So Kuna familia na Koo sio za kuoana nazo ama kushirikiana nao zinaweza kuku drain kulipa uovu wa vizazi vyao vilivyopita..
Pole kwa ajali .

Ila mkuu bloodline haina uhusiano na destiny yako.

Mafanikio na maisha generally hutegemea maono (vision) ukiwa na uwezo wa kuitazama kesho yako unaweza kufanikiwa .

So usiamini mambo ya bloodline
 
Back
Top Bottom