Je, kuna baadhi ya Familia zimebarikiwa?

Je, kuna baadhi ya Familia zimebarikiwa?

Kumbe watu wana singizia baraka, ilihali wameshindwa kuwa na mipango juu ya mafanikio yao na vizazi vyao.
Kabisa, angalia nchi za wenzetu walikua na mipango kapambe ya kuvamia nchi za watu na kuchukua rasilimali kwa njia yoyote ile kwa vizazi vyao ,ila unashangaa mtu anakuja kusema wale wamebarikiwa wakati kila kitu kili wekwa mezani kimipango na maono ya mbeleni.
 
Mfano watu nyote mmeajiriwa

Wewe mshahara wako unautumia kulewea ,wanawake na show off

Ila mwenzio Ana -save na kuwekeza

After 10 years mwenzako Ana-boom na kutoboa na kusomesha watoto wake shule nzuri na malezi mazuri then 20 yrs watoto wake wote wana-boom na kuwa well financial stable.

So baadae tunasema kuwa kuna baraka na laana kumbe tatizo ni kutokuwa na vision na utulivu Wa
Akili.

So tuendelee kujipanga kwa hilo. Kulea familia bora inawezekana kwa kila MTU
Umenena mkuu.
 
Kabisa, angalia nchi za wenzetu walikua na mipango kapambe ya kuvamia nchi za watu na kuchukua rasilimali kwa njia yoyote ile kwa vizazi vyao ,ila unashangaa mtu anakuja kusema wale wamebarikiwa wakati kila kitu kilewekwa mezani kimipango na maono ya mbeleni.
Dah hii kweli ila tumekuwa brainwashed. Mipango imara na kusimamia maono ndio msingi hasa wakufanikiwa.
 
Umenena mkuu.

Mkuu ukitaka kujua kuwa mafanikio yanashikiliwa na maono ebu watazame watoto wa Nyerere unaweza kujifunza kitu

Baba yao alitoka kijijini na kuja DSM na Ku-hustle hadi kuipa nchi ya Tanganyika Uhuru hii kazi ilikuwa no (maono makubwa) aliyokuwa nayo

Ila watoto wake wamejaribu wameshindwa so maono ndo huzaa ndoto kubwa Sana. Na sio ainanya familia unatoka.

Ukiwa na maono unaweza kwenda mahala popote duniani na ukafanikiwa hata Kama ni kwa uchache.
 
Na bado wanaendelea kuwa na mipango ya namna ya kutu exploit cheki wanavyo weka mizizi kwenya mataifa kadhaa ya Africa na kutengeneza viranja au vibaraka wao. Mfano majirani zetu Kenya na Marekani. Ukoloni mamboleo upo wazi.
 
Mkuu ukitaka kujua kuwa mafanikio yanashikiliwa na maono ebu watazame watoto wa Nyerere unaweza kujifunza kitu

Baba yao alitoka kijijini na kuja DSM na Ku-hustle hadi kuipa nchi ya Tanganyika Uhuru hii kazi ilikuwa no (maono makubwa) aliyokuwa nayo

Ila watoto wake wamejaribu wameshindwa so maono ndo huzaa ndoto kubwa Sana. Na sio ainanya familia unatoka.

Ukiwa na maono unaweza kwenda mahala popote duniani na ukafanikiwa hata Kama ni kwa uchache.
Hii kweli kabisa na ndio maana pia tunaona watu wanaachiwa mali na biashara kubwa na wazazi wao wanapo fariki ila wanakosa maono ya kuendeleza biashara hizo, mwisho wanauza na kuishia kuwa masikini.
 
Tunatumia mfumo wa maisha wa survival of the fittest! Mwenye nacho anangezewa.

Huu mfumo wa maisha ukiwepo sehem maskini wanarithishana na matajiri wanarithishana. So, hili gepu kufutika kwa minded mana mfumo unalazimisha maskin k
Wawepo
Sawa sawa, ni mtu uamue kutoka kwenye hiyo minyororo na usimamie maono yako kweli kweli.
 
Back
Top Bottom