Je, kuna baadhi ya Familia zimebarikiwa?

Jibu ni moja TU

Wanapeana TAG hakuna kukunjiana

Ukiona familia mmoja TU ndio yupo JUU wengine wapo chini au hawaeleweki jua huyo alie JUU kapiga KOMEO hataki kuwapa TAG wengine wapande JUU km yeye na anataka aonekane yeye TU ndio wa JUU

Hii comment ntaikuta hapa nikiwa na Miaka 79

Na log OUT
Connection ni muhimu sana kwenye kufanikiwa pia.

Usi Log Out mkuu tutakosa mawazo yako yaliyo tukuka kama haya.
 
Ni ukweli usiopingika kua kunafamilia zina bahati/zimebarikiwa na zipo familia zenye mikosi/zimelaaniwa lakini kitu kikubwa kwa baadhi ya familia kufanikiwa kwa kiwango kikubwa ni kuwepo kwa kiunganishi/kiongozi mzuri ndani ya familia;

Mfano usione kuna familia watoto wote wanabiashara kubwa na maisha mazuri /wameajiriwa sehemu nzuri kuna mtu kasababisha hilo kutokea kuna watoto wengi tunawaona kwenye familia hizo wanaanguka mara kadhaa kwenye biashara zao lakini kutokana na uwepo wa kiunganishi wanasimama tena.
Umegongelea msumari kiongozi. Big up
 
Nimekataa tamaa kwa kweli sioni njia ya kutoboa mimi binafsi. Ninachoshukuru ni kwamba mtoto wangu amefanikiwa na ameshaanza kujitegemea so sina mzigo wowote. Nakula vzr lakini mafanikio binafsi hayapo.
Usikate tamaa, ila kama umeweza kukuza watoto wako na wana jitegemea kuna kazi kubwa umefanya.
 
Habari Wakuu.

Hivi inakuje kuna baadhi ya familia unakuta watoto wote wana akili, wamesoma mpaka level za juu kabisa. Au unakuta familia nyingine karibu wote wana uchumi mzuri, wana biashara kubwa na mafanikio kede kede.

Kwa upande mwingine unakuta familia nyingine watu karibuni wote hawaja fanikiwa kielimu wala kiuchumi. Wana umasikini uliotopea.

Je, hizo familia zinazo kuwa na watu wengi walio fanikiwa ni kuwa wamebarikiwa au ni genetics au nini ndugu wajumbe.

Karibuni kwa michango yenu.
Malezi
 
Habari Wakuu.

Hivi inakuje kuna baadhi ya familia unakuta watoto wote wana akili, wamesoma mpaka level za juu kabisa. Au unakuta familia nyingine karibu wote wana uchumi mzuri, wana biashara kubwa na mafanikio kede kede.

Kwa upande mwingine unakuta familia nyingine watu karibuni wote hawaja fanikiwa kielimu wala kiuchumi. Wana umasikini uliotopea.

Je, hizo familia zinazo kuwa na watu wengi wamefanikiwa ni kuwa wamebarikiwa au ni genetics au nini ndugu wajumbe.

Karibuni kwa michango yenu.
It's true kuna families ni blessed wanafanikiwa na kuna families ni cursed wanalaaniwa. Blessing na curses zinatokana na karma za matendo ya wazazi wao. Familia zenye mafanikio, wazazi wao walitenda mema, familia zenye majanga, wazazi wao walifanya majanga.

Baraka na laana ni mambo ya powers, vibali na karma. Karibu mitaa hii

- "Will Powers!", "Faith Healing!"-Nguvu za Kufanya Miujiza ya Uponyaji kwa Imani. Kila Mtu Anazo!

- Vijana Waahidiwa Utajiri Kwa Shurti la Kuweka Agano la Kutohama Efata-Mtume na Nabii Mwingira!.

P
 
Can you break generational curses?

If yes, how?
 
Safi mkuu,waelekeze pia namna ya kuvunja hizo generational Curses
 
It's true kuna families ni blessed wanafanikiwa na kuna families ni cursed wanalaaniwa. Blessing na curses zinatokana na karma za matendo ya wazazi wao. Familia zenye mafanikio, wazazi wao walitenda mema, familia zenye majanga, wazazi wao walifanya majanga.

Baraka na laana ni mambo ya powers, vibali na karma. Karibu mitaa hii

- "Will Powers!", "Faith Healing!"-Nguvu za Kufanya Miujiza ya Uponyaji kwa Imani. Kila Mtu Anazo!

- Vijana Waahidiwa Utajiri Kwa Shurti la Kuweka Agano la Kutohama Efata-Mtume na Nabii Mwingira!.

P
Mkuu umetema madini kweli kweli.

Je hao wasio hama kwenye kanisa lake wana pokea makontena toka China ? Wana fanikiwa kwenye mambo yao?
 
Mimi Ni mkristo Ila kwenye hii falsafa ya HINDUISM Kuna ya kujifunza

Kuna kitu kinaitwa DEVIL INCARNATION yaan Wana amini Kama ukizaliwa kwenye umaskini au ulemavu au matatizo nikutokana na PAST EXISTENCE YA VIZAZI VYAKO HAVIKUISHI VIZURI IVYO WEWE UNA HUKUMIWA NA UOVU WA YOUR PAST EXISTENCES

So Kuna familia na Koo sio za kuoana nazo ama kushirikiana nao zinaweza kuku drain kulipa uovu wa vizazi vyao vilivyopita..
sure
 
Kwetu sisi wote vipanga.
mnaweza kuwa wote vipanga lakini bado msiwe na mafanikio sana
Hii ni kama unaongelea ukipanga wa darasani
liko kabila ambalo wamebarikiwa sana kuwa vipanga na akili nyingi lakini yetu mkoa wao uko kwenye list ya mikoa masikini nchi hii.
Kinachotakiwa hapo ni ukipanga uwe wa juu sana au moderate lakini wana mafanikio makubwa kimaisha nitatolea mfano familia ya MO na Bakhresa.
Hawa kielimu wako moderate sio vilaza sana wala sio vipanga sana lakini wana mafanikio makubwa mno kiuchumi
 
Back
Top Bottom