Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Sawa mkuu 😊Ndio mkuu wanasema wana jicho baya na ni asili yake. Kwa hiyo ukionana nae asubuhi wa kwanza unapata nuksi kama kuna jambo lako haliendi vema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu 😊Ndio mkuu wanasema wana jicho baya na ni asili yake. Kwa hiyo ukionana nae asubuhi wa kwanza unapata nuksi kama kuna jambo lako haliendi vema.
YawezekanaMafanikio ya mtu/jamii/nchi ni matokeo ya mipango mizuri ya muda mrefu kuanzia kizazi cha mababu huko.. Hayana uhusiano wowote na kubarikiwa au kulaaniwa.
Sio kuamua mkuu.. hii ngoma ngum, itokee tu ubahatike. Kuna mtu kaamua kuwa maskini humu?Sawa sawa, ni mtu uamue kutoka kwenye hiyo minyororo na usimamie maono yako kweli kweli.
Kuna ukoo mmoja umekaa pale bot na vijana wao wote wa rika langu wana mastazi.. wanaofatia wanaenda kuanza form six mwez wa sabaKuna familia ya kina Kijazi, Mwapachu.
Hawa kina Kijazi mimi nawaitaga vijaza post zao huyu utaambiwa katibu mkuu wa wizara, huyu Mkurugenzi Tanapa huyu siyo katibu mkuu wa nini, hawa nimewavulia kofia.
Habari Wakuu.
Hivi inakuje kuna baadhi ya familia unakuta watoto wote wana akili, wamesoma mpaka level za juu kabisa. Au unakuta familia nyingine karibu wote wana uchumi mzuri, wana biashara kubwa na mafanikio kede kede.
Kwa upande mwingine unakuta familia nyingine watu karibuni wote hawaja fanikiwa kielimu wala kiuchumi. Wana umasikini uliotopea.
Je, hizo familia zinazo kuwa na watu wengi wamefanikiwa ni kuwa wamebarikiwa au ni genetics au nini ndugu wajumbe.
Karibuni kwa michango yenu.
Nimefurahishwa sana na kukutana na huu Mtazamo. Na ni kwasababu katika miaka fulani niliishi nikiamini hivyo.Habari Wakuu.
Hivi inakuje kuna baadhi ya familia unakuta watoto wote wana akili, wamesoma mpaka level za juu kabisa. Au unakuta familia nyingine karibu wote wana uchumi mzuri, wana biashara kubwa na mafanikio kede kede.
Kwa upande mwingine unakuta familia nyingine watu karibuni wote hawaja fanikiwa kielimu wala kiuchumi. Wana umasikini uliotopea.
Je, hizo familia zinazo kuwa na watu wengi wamefanikiwa ni kuwa wamebarikiwa au ni genetics au nini ndugu wajumbe.
Karibuni kwa michango yenu.
Aise kumbe ni bahati sio mipango mkuu. Naelewa hakuna mtu anapenda kuwa masikini ila pengine mbinu na mipango ndio inashinda watu.Sio kuamua mkuu.. hii ngoma ngum, itokee tu ubahatike. Kuna mtu kaamua kuwa maskini humu?
Ni mambo muhimu sana ila kizazi cha sasa tumeyapa kisogo mambo haya.1.Urithi hapo kuangalia Sana wakati wa kuoa ,karibu kufanya uchunguzi wa AFYA kwa kuhoji kama vile magonjwa ya kurithi,AFYA ya akili,ukoma,seli mundu.
2.Malezi anayokulia MTOTO wako ikiwa Kuna msisitizo kutoka kwa WAZAZI WOTE WAWILI lazima wawe VIZURI.
3.mazingira ya kujifunzia
Dah yani ni mnyororo wa mafanikio familia na ukoo mmoja.Kuna ukoo mmoja umekaa pale bot na vijana wao wote wa rika langu wana mastazi.. wanaofatia wanaenda kuanza form six mwez wa saba
Hii ipo sana yani wana tengeneza Dynasty angali mfano wa familia ya Kenyatta, Moi na Odinga family.Kuna ukoo mmoja umekaa pale bot na vijana wao wote wa rika langu wana mastazi.. wanaofatia wanaenda kuanza form six mwez wa saba
Maji hufuata mkondo ,usitegemee kuja kukuta familia ya kikwete waje kuwa omba omba.Habari Wakuu.
Hivi inakuje kuna baadhi ya familia unakuta watoto wote wana akili, wamesoma mpaka level za juu kabisa. Au unakuta familia nyingine karibu wote wana uchumi mzuri, wana biashara kubwa na mafanikio kede kede.
Kwa upande mwingine unakuta familia nyingine watu karibuni wote hawaja fanikiwa kielimu wala kiuchumi. Wana umasikini uliotopea.
Je, hizo familia zinazo kuwa na watu wengi wamefanikiwa ni kuwa wamebarikiwa au ni genetics au nini ndugu wajumbe.
Karibuni kwa michango yenu.
Mipango watu wanayo. Kinachokufikisha pale sio wewe. Ndo mana repetition ya mafanikio yako wewe mwengine akikopi ni posibilityAise kumbe ni bahati sio mipango mkuu. Naelewa hakuna mtu anapenda kuwa masikini ila pengine mbinu na mipango ndio inashinda watu.
Jibu ni moja TUJe, hizo familia zinazo kuwa na watu wengi wamefanikiwa ni kuwa wamebarikiwa au ni genetics au nini ndugu wajumbe.
NAKUBALI MKUU.Maagano ya mababu zao yalikuwa vizuri.
Mashallah mmebarikiwa hamuwezi pungukiwa damuKwetu sisi wote wauza mboga.
Ni ukweli usiopingika kua kunafamilia zina bahati/zimebarikiwa na zipo familia zenye mikosi/zimelaaniwa lakini kitu kikubwa kwa baadhi ya familia kufanikiwa kwa kiwango kikubwa ni kuwepo kwa kiunganishi/kiongozi mzuri ndani ya familia;Habari Wakuu.
Hivi inakuje kuna baadhi ya familia unakuta watoto wote wana akili, wamesoma mpaka level za juu kabisa. Au unakuta familia nyingine karibu wote wana uchumi mzuri, wana biashara kubwa na mafanikio kede kede.
Kwa upande mwingine unakuta familia nyingine watu karibuni wote hawaja fanikiwa kielimu wala kiuchumi. Wana umasikini uliotopea.
Je, hizo familia zinazo kuwa na watu wengi wamefanikiwa ni kuwa wamebarikiwa au ni genetics au nini ndugu wajumbe.
Karibuni kwa michango yenu.
Kweli mji hufuata mkondo kuna kila sababu ya kupambana kweli kweli.Maji hufuata mkondo ,usitegemee kuja kukuta familia ya kikwete waje kuwa omba omba.
JM kikwete wanae wote wapo njema ,na uzao wake wa kina riz1 no wanae watakua njema hivyo hivyo coz atawasomesha shule nzuri ,pili atawapa connection.
Hii inaonesha ni jitahada za mtu ndio zitamfanya atoboe.Mungu Gani huyo anayebariki wengine na kuwaacha wengine wateseke
Ina husisha mambo mengi.Mipango watu wanayo. Kinachokufikisha pale sio wewe. Ndo mana repetition ya mafanikio yako wewe mwengine akikopi ni posibility