Je kuna bifu kati ya Shigongo na Diamond?

Je kuna bifu kati ya Shigongo na Diamond?

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Kwanini magazeti ya udaku ya Shigongo siku hizi hayaandiki habari za Diamond? Kuna beef gani tena?

Mbona Diamond anaandamwa na mabeef sana; huku EATV, huku Kiba, huku Davido? Tatizo ni nini hasa?
 
SHIGONGO ANA WIVU? MBONA ALIMSAIDIA SANA KIJANA KUFIKA MBALI.NAKUMBUKA ENZI ZILE ANAMPELEKA DIAMOND DAR LIVE NA HELCOPTER

Alikuwa Hamsaidii bali Shigongo alikuwa anafanya Biashara, Dar Live ni ukumbi wake so kutumia chopper ilikuwa ni sehemu ya kutumia pesa ili apate pesa, na kweli alipata pesa ya kutosha kupitia Diamond
 
SEMA WALISAIDIANA BWANA . SIJUI WAMEKOROFISHANA NINI
 
Ni kawaida kwenye mafanikio kuna kuandamwa...hasa kuna mgongano wa kimaslahi, chuki na kutokuelewana baina ya pande mbili
 
Mafanikio!
kwani Diamond ndo ana mafanikio kuliko celebrities wote hapa bongo... usimdharau mtu hata kama umemzidi mafanikio no one knows tomorrow be humble.. naona Diamond anakata tawi alilokalia
 
Cybercrime act , alizoea kuweka picha za privacy kwenye Magazeti yake ya udaku... Athubutu sasa hivi
 
Mond ameshakuwa juu anachagua Wa kumuheshimu sasa including the fans.. ana haki ya kufanya hivyo ila ajue anajitengenezea mwenyewe nguvu ambayo itapingana naye na ikimzidi itamshusha 2
 
Kwanini magazeti ya udaku ya Shigongo siku hizi hayaandiki habari za Diamond? Kuna beef gani tena?

Mbona Diamond anaandamwa na mabeef sana; huku EATV, huku Kiba, huku Davido? Tatizo ni nini hasa?
DIAMOND HAJAWAHI KUWA NA BIFU NA MTU,ILA 99% WATU NDIO WANATAFUTA BIFU NAE.

DIAMOND na ALIKIBA = Mashabiki wa Wema ndio wamelitengeneza (wakitaka MOND ashuke)

Shigongo na DIAMOND =Maslai (Shigongo alimtaka akafanye shoo kwa bei isiyo na maslai kwake)

EATV/Radio na DIAMOND = Kutokushiriki kwenye tuzo zao,kitu ambacho si DIAMOND PEKE YAKE ALIYEFANYA HIVI

WEMA SEPETU na DIAMOND = Wema kuwa na wivu wa mafanikio ya DIAMOND (baada ya kuona kuwa anaendelea na maisha yake vizuri,wakati alisema anatembelea nyota yake.)

Na ma-bifu mengine mengi ni wivu wa kuona jamaa ana mafanikio na anazidi kupiga hatua pamoja na madongo kila upande.

HAKUNA HATA BIFU MOJA AMBALO KALIANZISHA YEYE,ILA ANAANZISHIWA.
 
kwani Diamond ndo ana mafanikio kuliko celebrities wote hapa bongo... usimdharau mtu hata kama umemzidi mafanikio no one knows tomorrow be humble.. naona Diamond anakata tawi alilokalia
Watu tunaongelea DIAMOND na "ma-bifu". "we unauliza kwani MOND ndio mwenye mafanikio kuliko cele wote hapa Bongo ...." Sasa hii ni wapi na wapi ....??
 
Back
Top Bottom