Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
Watu wamepinda😂😂, Mizengo akasomeMkuu ni huzuni sana..!!
Ila na wewe humu sometimes unajifyatua ubongo..!!
Unatoaga mineno mizito sijui na huko nyumbani kwako ni hivyo hivyo??!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wamepinda😂😂, Mizengo akasomeMkuu ni huzuni sana..!!
Ila na wewe humu sometimes unajifyatua ubongo..!!
Unatoaga mineno mizito sijui na huko nyumbani kwako ni hivyo hivyo??!!
Hatari na nusu sasa itakuaje maana jamaa wanajipenyeza kila angleHuko nako sio poa siku hizi. Kuna shuhuda nyingi sana za watu kuharibikia sehemu ambazo mwanzo tulidhani ndipo pa kukimbilia
Tuanzie kwako mzazi kwann unampa simu mtoto?? Na kwann usiweke password??Ukiwaachia simu wanazama moja kwa moja Netflix wanaanza kuizoom
Simu si analilia anataka kucheza game na kuangalia cartoon mkuu unampa kumbe kaingia moja kwa moja Netflix kakutana na hio anaanza kuizoom taratibuTuanzie kwako mzazi kwann unampa simu mtoto?? Na kwann usiweke password??
Nyie wazazi ndio mna shida muda mwingine, unakuta mzazi kwenye simu kajaza x na anampa mtoto simu yake hana hata wasiwasi..!! Na watoto ni watundu na wadadisi watachungulia watayabeba, kesho yupo na mtoto mwenzie wanajaribu..!!
Kuna mmoja ndo balaa yeye anajisifu kulamba kei za maafisa utamu na haoni shida..!!Watu wamepinda😂😂, Mizengo akasome
Hatari na nusu sasa itakuaje maana jamaa wanajipenyeza kila angle
Kuna siku uliniambia mambo ya ajabu nasoma km naangalia x..!!Hamna mkuu wala sio hivyo yaan nyumbani ni mtu peace karibu kwangu ujionee
Basi vitu ambavyo unaona yeye hastahili kuviona viwekee password..!!Simu si analilia anataka kucheza game na kuangalia cartoon mkuu unampa kumbe kaingia moja kwa moja Netflix kakutana na hio anaanza kuizoom taratibu
Sio mimi mkuu nimesema kwa niaba ya wale wenye mazoea ya kufanya hivyo sasa ukimwacha anacheck movie km hizo anapata fundisho gani?Basi vitu ambavyo unaona yeye hastahili kuviona viwekee password..!!
Na kingine sioni km ni vizuri kuwapa watoto simu zenu sijui wacheze game, kwann msiwanunulie vitabu vya kujenga na kuelimisha.??
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, wazazi hayo malezi yenu yanachangia kuwaharibu..!!
Naam 😜
Wacha utaniSi bora hiyo kuna ya day of jackal filam nzur ila ndani star kamla dume
Watafurahia kuitwaje?Miaka ya zamani ya zamani kujiita jambazi au steringi ilikuwa title iubwa na ndio maana mitaani tulikuwa na mtu kama bolo young, Jadu, amrish puri n.k nachelea kusema itafika kipindi huko mbeleni Mungu atuepushie mbali madogo watakuwa wanaoana fahari kujiita punga fulani kisa tu hizi movie zenye uchoko mwingi
Rabeeeeka mkuuu...nimeitika
Mimi mda mwingi huwa nautumia kusoma biblia mtumish
Hahaha lina husband tena?Rabeeeeka mkuuu...nimeitika
Yani acha tuu..siku hzi ukiliangalia lia Burna Boy limekua teketeke..na lile jisura eti na lenyewe ukute lina husband wake...
wanaume wanaowafanya hawa kuwa wake ni wangese