Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
- Thread starter
- #41
Huko ndio wanapozitisha agenda zao km wanavyofanya kwenye mpira kuvalishana badgesSeries na movies nyingi za 2010 kuendelea zina shida sana.
Nilitazamaga series ya Vikings na How to get away with murder episodes/season za mwanzo zilikuwa fresh kabisa. Balaa likaanza season(s) za 2/3, ilikuwa ni shida kabisa. Nimeacha kuhangaika na series kwa mda sasa.