Je, kuna filamu nyingine kama hii unaijua!? Kwenye vitabu je?

Huko ndio wanapozitisha agenda zao km wanavyofanya kwenye mpira kuvalishana badges
 
Ni tamaduni zao huko west, jinsi wanavyoishi ndivyo wanavyoact.

Enjoy movie mambo ya kipunga temana nayo, na how comes unaangalia movie za hao jamaa ukiwa na watoto?? Hawatabiriki hao scene mapigano scene kitombo... Ni kheri uwe peke yako au na watu wa rika lako.

Movie za kikorea, kichina , kihindi hizo hazina maudhui mabovu ya kingonongono kama za hao west.
 
Eee Mungu atuhurumie
 
Agenda is depopulation
Watu wasizaliane hilo ndio kusudi lao,,,unaambiwa Marekan ukiwa na movie yako ina mambo hayo hata kama wewe black utapata support na airtime ya ajab kwenye tv/social media za media kubwa,,, hawa watu wamelaaniwa sasa wameingiza hadi kwenye Cartoon yan ni kua makini na vipindi vya watoto wanavyoangalia
 
Hizo movie nyie Wa afrika sio target audience nashangaa mna-mind nini?

Kama mnaona haziwafai tengenezeni za kwenu.

Tengenezeni movie zenu.

Hivi kweli kuna mtu mwenye akili timamu atabadilika kuwa upinde kisa tu filamu ya lisaa kimoja?

Kwanini mnaruhusu watoto wenu waangalie filamu ambazo zimewekwa PG ni 18+?

Kwanini mnapenda kuwalaumu wazungu kwenye kila kitu?
 

Nani yuko nyuma ya hiyo agenda ya depopulation na huyo mtu au taasisi inafaidikaje na hiyo agenda?
 
Kuna pia drama series ya The Chi nayo hivyo hivyo.
Mwanzo waliyaweka kidogo na kwa codes tu ila kuanzia season ya 2 ni upunga mtupu, hii sasa ilinishinda kabisa. Maana hamna cha maana zaidi ya ushoga.

Nadhani kuna movie ambazo wanaigiza kwa ajili yao tu
 
Fomula Ni Ile Ile,,Gusa Achia,,Twende Kwao"
 
Mimi ni mdau wa Muvi za kikorea hasa zile zinadeal na siasa ya nchi wakati huo, filamu za kizungu au kihindi sina upenzi nazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…