Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Mkuu ni ndege ya abiria hiyo.. sio ya kivita....Huyo ni pilot na hicho alichofanya ni kubonyeza special button ya emergency ambapo kiti kinachomoka kizimakizima kutokea chini ndiyo ndege nyingi zimetengenezwa hivyo, kwa kisukuma inaitwa "seat ejector"
Safi kabisa mkuu nafurahi kwa mchango wako..na wala sipingani na wewe...Suala la kapona au kafa ndugu zake ndio wana majibu sahihi.
Kuhusu kufa au kupona hakuna uhusiano na ajali au kujirusha.
Unaweza kupona kwenye ajali ya Lori ukafa usingizini.
Mungu ndiye pekee anayeweza kutamatisha uhai wa mtu
Ezekiel 18:4
View attachment 3072210
Ule mchezo hata bongo hapa kuna jamaa alikua anafanya sema ndo hvo sir God kampenda zaidi πππππJamaa katoboa vizuri tu maana distance ilikuwa ndogo sana kutoka kwenye ndege. Maana kuna michezo wazungu huwa wanaruka toka ghorofa ya 5 huko wanaanguka kwenye swimming pool na hakuna tatizo lolote.
Ni salama zaidi lakini ikitokea ajali kupona ni mtiti.Mkui ndge ni show show yaan ubaya ubaya ππππ
Lakini ndo usafiri salama zaid
Ni bora ikaripuka tuu ukafa kwa maumivu ya sekunde...Ni salama zaidi lakini ikitokea ajali kupona ni mtiti.
Uombe mma kwenye maji πNi bora ikaripuka tuu ukafa kwa maumivu ya sekunde...
Ila sio kwenye maji mkuu..
Unaweza kuomba m'ma
Kwa sababu ya pressure. Ni hivi: Unapoangukia kwenye maji ukiwa kwenye umbali mfupi, kitu kinachofanya usiumie ni kuwa, kwa kuwa uko speed ndogo, uzito na speed yako ndogo inatoa nafasi kwa maji ''kutawanyika'' na mwili wako kuchukuwa ile nafasi ya maji. Lakini ukianguka kutoka umbali mrefu, ile speed na uzito wako inakuwa kubwa kiasi cha maji ''kutopata muda'' wa kutawanyika ili mwili wako uchukuwe ile nafasi ya maji.Yaaah yaaah daaah ...
Mpaka sasa ile hali ya maji kuwa kama solid ni nini hasa mkuu
Ni surface tension yake au.....
Mkuu ujawahi skia watu wanakufa baharini kwa kiu ππππππUombe mma kwenye maji π
ππππππ Physics imelala hapo mkuu najaribu kufikili haya madude sio ndo ya newton huko...Kwa sababu ya pressure. Ni hivi: Unapoangukia kwenye maji ukiwa kwenye umbali mfupi, kitu kinachofanya usiumie ni kuwa, kwa kuwa uko speed ndogo, uzito na speed yako ndogo inatoa nafasi kwa maji ''kutawanyika'' na mwili wako kuchukuwa ile nafasi ya maji. Lakini ukianguka kutoka umbali mrefu, ile speed na uzito wako inakuwa kubwa kiasi cha maji ''kutopata muda'' wa kutawanyika ili mwili wako uchukuwe ile nafasi ya maji.
Maji ya bahari ni maji chumvi hayafai kunywa kukata kiu.Mkuu ujawahi skia watu wanakufa baharini kwa kiu ππππππ
Oaa weee show huko ni kali mkuu
Haisadii mkuu kama umbali ni mrefu, matokeo ni yale yale. Itasadia tu kama umbali siyo mrefu kwa sababu mwili wako unakuwa umeingia kwenye maji kwa kutumia ''ncha'' ndogo kulinganisha na kama ungeingia, kwa mfano, ki-mgongoππππππ Physics imelala hapo mkuu najaribu kufikili haya madude sio ndo ya newton huko...
Daah hapo nimekupata mkuu na je kama mtu akianguka kwa position kama ya mshale yaani akatanguliza mikono yaani azingatie shape
Serious mkuu ndo ufe kisa kiu baharini..Maji ya bahari ni maji chumvi hayafai kunywa kukata kiu.
Doooh mkuu sasa si bora kwa ishu kama hiyo ubaki mule mule ndani tuuu...Haisadii mkuu kama umbali ni mrefu, matokeo ni yale yale. Itasadia tu kama umbali siyo mrefu kwa sababu mwili wako unakuwa umeingia kwenye maji kwa kutumia ''ncha'' ndogo kulinganisha na kama ungeingia, kwa mfano, ki-mgongo
Kunywa uone kama utaponaSerious mkuu ndo ufe kisa kiu baharini..
Utakua una wazimu wewe ππππ
Ushakaa mazingira ya pwani mkuu..Kunywa uone kama utapona