Je kuna kupona hapo..?

Je kuna kupona hapo..?

Suala la kapona au kafa ndugu zake ndio wana majibu sahihi.
Kuhusu kufa au kupona hakuna uhusiano na ajali au kujirusha.
Unaweza kupona kwenye ajali ya Lori ukafa usingizini.
Mungu ndiye pekee anayeweza kutamatisha uhai wa mtu
Ezekiel 18:4
Screenshot_20240817-080318.jpg
 
Huyo ni pilot na hicho alichofanya ni kubonyeza special button ya emergency ambapo kiti kinachomoka kizimakizima kutokea chini ndiyo ndege nyingi zimetengenezwa hivyo, kwa kisukuma inaitwa "seat ejector"
Mkuu ni ndege ya abiria hiyo.. sio ya kivita....

Hiyo ya seat ejector nielekeze kwa ndege gani hasa ipo kwa hizi za abilia..

Maana kwa system ya kule kwa cockpit ya ndge za abilia kuweka seat ejector kama unavosema ni ngumu..

Pia hiyo video angalia vizuri sizani kama ni emergency door hiyo
 
Suala la kapona au kafa ndugu zake ndio wana majibu sahihi.
Kuhusu kufa au kupona hakuna uhusiano na ajali au kujirusha.
Unaweza kupona kwenye ajali ya Lori ukafa usingizini.
Mungu ndiye pekee anayeweza kutamatisha uhai wa mtu
Ezekiel 18:4
View attachment 3072210
Safi kabisa mkuu nafurahi kwa mchango wako..na wala sipingani na wewe...

Ila ishu hapa ni kujadili kidogo mambo mambo fulani hivi about physics
 
Jamaa katoboa vizuri tu maana distance ilikuwa ndogo sana kutoka kwenye ndege. Maana kuna michezo wazungu huwa wanaruka toka ghorofa ya 5 huko wanaanguka kwenye swimming pool na hakuna tatizo lolote.
 
Ule mchezo hata bongo hapa kuna jamaa alikua anafanya sema ndo hvo sir God kampenda zaidi 😂😂😂🎉🎉

Kingine mkuu ukitoa distance factor huyo jamaa ajatoka at stationary point ujue..
Tofauti na wale wa kwenye michezo..

Hio ngoma ilikua na motion huwoni hiyo sababu ya kufanya impact iwe kubwa kwa maji
 
Yaaah yaaah daaah ...
Mpaka sasa ile hali ya maji kuwa kama solid ni nini hasa mkuu
Ni surface tension yake au.....
Kwa sababu ya pressure. Ni hivi: Unapoangukia kwenye maji ukiwa kwenye umbali mfupi, kitu kinachofanya usiumie ni kuwa, kwa kuwa uko speed ndogo, uzito na speed yako ndogo inatoa nafasi kwa maji ''kutawanyika'' na mwili wako kuchukuwa ile nafasi ya maji. Lakini ukianguka kutoka umbali mrefu, ile speed na uzito wako inakuwa kubwa kiasi cha maji ''kutopata muda'' wa kutawanyika ili mwili wako uchukuwe ile nafasi ya maji.
 
😂😂🙏🙏🙏🙏 Physics imelala hapo mkuu najaribu kufikili haya madude sio ndo ya newton huko...

Daah hapo nimekupata mkuu na je kama mtu akianguka kwa position kama ya mshale yaani akatanguliza mikono yaani azingatie shape
 
Haisadii mkuu kama umbali ni mrefu, matokeo ni yale yale. Itasadia tu kama umbali siyo mrefu kwa sababu mwili wako unakuwa umeingia kwenye maji kwa kutumia ''ncha'' ndogo kulinganisha na kama ungeingia, kwa mfano, ki-mgongo
 
Doooh mkuu sasa si bora kwa ishu kama hiyo ubaki mule mule ndani tuuu...

Sema kwa haraka haraka unaweza kusema jamaa anatoboa et
 
Back
Top Bottom