Je, kuna madhara gani kiafya usipofanya mapenzi kwa muda mrefu?

Je, kuna madhara gani kiafya usipofanya mapenzi kwa muda mrefu?

1.Inawezekana na 2.hakuna madhara ila yakupasa kuwa na moyo wa kishujaa wa kukwepa vishawishi hasa kwenye dunia ya leo
 
Madhala yapo siku akitaka kufanya lazima azime taa sababu ya aibu.

2. Ataogopa nani aanze.

3.anaweza asijue kama ana nguvu za kiume au la!

4.anaweza asijue kama ana kibamia au la!
 
Madhala yapo siku akitaka kufanya lazima azime taa sababu ya aibu.

2. Ataogopa nani aanze.

3.anaweza asijue kama ana nguvu za kiume au la!

4.anaweza asijue kama ana kibamia au la!
Bila shaka wewe ni ke kama nimekosea unisamehe.
Mwanaume huyaona maumbile yake kamili kila siku, ikiwa ni madogo au makubwa hasa wakati wa haja ndogo, kwa hiyo dhana ya kibamia ondoa.
Kuhusu nguvu au kutema risasi pia lazima atajua kama bunduki inatema au la. Wanaume watanielewa
 
Wakubwa polen na majukumu. Naomba niwaulize swali moja kwa moja bila kupoteza muda 1)hivi inawezekana mtoto wa kiume aliyekamilika rijali anakula na kushiba akaweza kufika umri wa miaka 28 hadi 30 bila kufanya mapenzi??? 2)Je kuna madhara yeyote mtoto wa kiume anaweza kuyapata asipofanya mapenz hadi kufikia umri wa hapo juu??maana nimekuwa nikisikia kuwa usipoduu muda mrefu unaweza kuwa gay au impotent tafadhal naomben majbu wakuu
Aiseee naona hakuna madhara, tena kufanya mapenzi before that age ni mbaya zaidi, kwanza wengi tunakuwa immature, tupata watoto wasio na lazima. Mwishowe tunaongeza umaskini, elimu duni, etc

Nikupe mfano wa the Father Of Calculus, Sir. Isaac Newton. Much respect to him, you made my life hard memorising all your formulas but we wouldn't have planes and Lamborghinis without you[emoji3] [emoji3] .

Sir. Isaac Newton never dated and not surprising, he died a virgin.
b0daeac7b2722e5ac2be3905ecba97ec.jpg


Sir. Isaac Newton alikufa akiwa na miaka 84 akiwa bado virgin. I keep on respecting this man. Calculus inanipa maumivu, I am more of a biology and chemistry guy, nami siku nitaitwa Sir Ghost. Kwa kuwa nitakuwa nimepata dawa ya Ukimwi na Cancer.[emoji3] Amen.

Mfano ndio huo[emoji115] [emoji115] aliweza kutuongezea ujuzi.

Conclusion Force = Mass * Acceleration

-callmeGhost
 
Back
Top Bottom