Ethical Ninja CEH
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 3,695
- 5,042
Inawezekana, hata mimi nilitamani sana, ila nikajikuta nimeanza kwichi kwichi nilipo fika 20... roho inaniumaga kweli kuanza mapema haya mambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera kwa kuachiwaWapo bwana!!! Wengine wanajitunza mpaka ndoa...
Asante mkuuHongera kwa kuachiwa
Paprika , habari ya hapo ulipoWapo bwana!!! Wengine wanajitunza mpaka ndoa...
Ulipata mkasa Gani paprika???.....Asante mkuu
Bila shaka utakuwa memba mwema eti[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Asante mkuu
NimenyookaBila shaka utakuwa memba mwema eti[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndioUlipata mkasa Gani paprika???.....
....au ndiyo umetoka kwenye banned km mm[emoji23] [emoji23] [emoji780] [emoji780]
Asante mkuu!Paprika , habari ya hapo ulipo
Napenda kuchukua nafasi hii kukupa pole kwa ule mkasa uliokupata.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] PoleeeeNimenyooka
Bila shaka wewe ni ke kama nimekosea unisamehe.Madhala yapo siku akitaka kufanya lazima azime taa sababu ya aibu.
2. Ataogopa nani aanze.
3.anaweza asijue kama ana nguvu za kiume au la!
4.anaweza asijue kama ana kibamia au la!
Umenifurahisha sana mkuu....Inawezekana, hata mimi nilitamani sana, ila nikajikuta nimeanza kwichi kwichi nilipo fika 20... roho inaniumaga kweli kuanza mapema haya mambo
Aiseee naona hakuna madhara, tena kufanya mapenzi before that age ni mbaya zaidi, kwanza wengi tunakuwa immature, tupata watoto wasio na lazima. Mwishowe tunaongeza umaskini, elimu duni, etcWakubwa polen na majukumu. Naomba niwaulize swali moja kwa moja bila kupoteza muda 1)hivi inawezekana mtoto wa kiume aliyekamilika rijali anakula na kushiba akaweza kufika umri wa miaka 28 hadi 30 bila kufanya mapenzi??? 2)Je kuna madhara yeyote mtoto wa kiume anaweza kuyapata asipofanya mapenz hadi kufikia umri wa hapo juu??maana nimekuwa nikisikia kuwa usipoduu muda mrefu unaweza kuwa gay au impotent tafadhal naomben majbu wakuu
Asante sanaAhsante Mkuu.
1)Ndiyo wapo, kuna ambao huishi hata miaka yao yote hawajagusa Mbunye na wapo vema kabisa. Mfano ni baadhi ya Mapadre.
2)Hakuna madhara yoyote yatokanayo na kutofanya ngono.
Asante sana mkuu wanguHayo yote yanawezekana na hayo mengine uliyoyasikia hayana ukweli wowote ule hususan katika sayansi ya baiolojia.