Je kuna mahusiano yoyote kati ya alama zinazotumika kwenye pesa na shetani?

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,595
Reaction score
3,670
Wadau natumai mko salama

Dhumuni la uzi huu ni kutaka kujua kama hizi pesa tunazotumia kama zina mahusiano yoyote na mambo ya kishetani mana nimekua nikisikia kuwa alama zilizopo kwenye pesa zinawakilisha ushetani ila sijawahi kupata uthibitisho wowote

Kama kuna mwenye ujuzi na hili atujuze
 
Jaribu ku-google Illuminati utaona Sera na malengo yao na pia alama ya wazi kabisa ya kishetani ipo kwenye note ya $1 ya USA...utaona kuna pyramid yenye ngazi3 ambazo ni za utawala wao...na namna wanavotawala dunia...kumbuka number 13 ni alama ya Illuminati na Freemason na ndio maana kwenye hotel zote kubwa huwezi kukuta chumba number hiyo,
 
Asante
Umemaliza mkuu
 
MM MWENYEWE NIMESIKIA KWA WATU KUWA PESA ZINA ALAMA ZA USHETANI HIVYO BADO NATAFAKARI NIJUE UNDANI ZAIDI ILA NIMECOPY HII TOKA MAHALI FULANI

Maana ya alama hiyo kiutabibu inatokana na simulizi lililomo katika Biblia ... ya pesa. ndio maana unaweza kuona hela zina kama alama a nyota hiyo ... inahusishwa hasa na nguvu za ushetani katika kuitawala dunia. sasa ...

HEBU SOMA HESABU 21:6, 8-9 LABDA UTAPATA UNDANI ZAIDI HAPO
 
Oooh bora mimi sina hela...maana kwa muktadha huu mwenye hela nyingi si ajabu akawa anakaimu kiti cha ndugu Shetani akiwa kwenye shughuli nyingine za kikazi!
 
MM MWENYEWE NIMESIKIA KWA WATU KUWA PESA ZINA ALAMA ZA USHETANI HIVYO BADO NATAFAKARI NIJUE UNDANI ZAIDI ILA NIMECOPY HII TOKA MAHALI FULANI

Maana ya alama hiyo kiutabibu inatokana na simulizi lililomo katika Biblia ... ya pesa. ndio maana unaweza kuona hela zina kama alama a nyota hiyo ... inahusishwa hasa na nguvu za ushetani katika kuitawala dunia. sasa ...

HEBU SOMA HESABU 21:6, 8-9 LABDA UTAPATA UNDANI ZAIDI HAPO

Maana shina moja la mabaya ya kila namna ni kupenda fedha; ambayo wengine hali wakiitamani hiyo wamefarakana na Imani, na kujichoma kwa maumivu mengi. 1 TIMOTHEO 6:10
 
Hata ukisoma ufunuo wa Yohana utapata mambo mengi yanayotokea sasa na yatakayotokea yameandikwa vizuri humo, mm napenda sn kusoma na hii imenisaidia kujua mambo mengi mapya....hata magonjwa mengi mfano Ukimwi na Ebola yote ni man made na lengo ni kufaidi kiuchumi kwa mataifa fulani pamoja na lengo lao kuu la kupunguza idadi ya watu duniani....Illuminati ni wabaya sana
 
asante cousin kunisaidia hili maana nililitafuta andiko hili kichwani mpaka nikasema sasa maandiko yameanza kunitoka nini? be blessed

Back
Top Bottom