Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,655
Itaongeza quality au value yoyote katika njia zako za kufikiri?itafaa kujua kama umevuta bangiri ya arusha ama ya malawi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itaongeza quality au value yoyote katika njia zako za kufikiri?itafaa kujua kama umevuta bangiri ya arusha ama ya malawi.
Ushetani kwa mujibu wa nani..?
Nimeuliza hivyo nikiamini mada yako ipo kiimani tena labda ya Kikristo mno mno Usabato....
Pesa hiyo inatumiwa na Wakristo, wapagani, Muslims , Wasio amini Mungu (Atheist), Buddhist na imani mamia kwa maelfu...
Ukija kwa Atheist yeye haamini Mungu so automatically kwake yeye hakuna shetani.....Wabudda wanaamini shetani wa mtu ni mtu mwenyewe......Sasa kwa mantiki hiyo labda swali lako ulielekeze kwa kundi la imani fulani...
Halafu kwa mtazamo.wa
ko shetani ni nani..?[/
QUOTE]
Kwa mujibu wa maandiko mbalimbali ikiwemo biblia
Mada haiko kiimani wala haiusiani na usabato
Shetani ni yule malaika aliyemuasi Mungu na kuwa na uadui na Mungu shetani ana wafuasi wengi sana kama majini wachawi mapepo wabaya nk
Ha, ha, ha. Sasa wewe ndio umeuaOooh bora mimi sina hela...maana kwa muktadha huu mwenye hela nyingi si ajabu akawa anakaimu kiti cha ndugu Shetani akiwa kwenye shughuli nyingine za kikazi!
Hoteli kubwa ni zipi wewe...? Zikoje? Zinapatikana wapi..?
Maana hoteli kubwa zinakuwa na hadhi ya Nyota tano....Hapa Arusha kuna Hoteli za Nyota Tano kama Tano hivi na vyote kuna vyumba vya kutosha vyenye namba 13..
Uhusiano wa hoteli na pesa upo wapi hapo..?
Wadau natumai mko salama
Dhumuni la uzi huu ni kutaka kujua kama hizi pesa tunazotumia kama zina mahusiano yoyote na mambo ya kishetani mana nimekua nikisikia kuwa alama zilizopo kwenye pesa zinawakilisha ushetani ila sijawahi kupata uthibitisho wowote
Kama kuna mwenye ujuzi na hili atujuze
alama kwenye noti ni za kishetani mf.A dager and a snake ni alama pure ya kishetani na ipo kwenye pharmacy,noti ya mia tano,magari,rozari,muhimbili
wakimaanisha nyoka ni mungu afya,mungu mtetezi na mungu mlinzi hii alama ipo toka acient times kule misri
Arusha hakuna hotel yenye nyota tano
alama kwenye noti ni za kishetani mf.A dager and a snake ni alama pure ya kishetani na ipo kwenye pharmacy,noti ya mia tano,magari,rozari,muhimbili
wakimaanisha nyoka ni mungu afya,mungu mtetezi na mungu mlinzi hii alama ipo toka acient times kule misri
Tena wana sisitiza mara 2mbili na ukitoa nyingi wanakuombea
Jaribu ku-google Illuminati utaona Sera na malengo yao na pia alama ya wazi kabisa ya kishetani ipo kwenye note ya $1 ya USA...utaona kuna pyramid yenye ngazi3 ambazo ni za utawala wao...na namna wanavotawala dunia...kumbuka number 13 ni alama ya Illuminati na Freemason na ndio maana kwenye hotel zote kubwa huwezi kukuta chumba number hiyo,
Halafu unajiona mjuaaaji kweli..!!!
Kaangalie afya yako ya akili haraka sana...
ile alama ya mhimbili siyo alama ya nyoka ni ya alama ya aina ya mnyoo
Mi nadhani havina uhusiano.kwanza kila symbol ktk noti huwa inawakilisha k2 fulani.mfano ile noti ya mia 5 ile symbol kama ya nyoka 2liwah kuuliza kule B.0.T na 2kaambiwa haimanishi hvyo.hivyo hvyo ktk noti za USA zile symbol zina maana yake offcial kabisa.
nachojua itagharimu maisha yako yote kukijua
Nakusikitikia maana unachodhani unakijua wewe hukijui...Huu ni msiba kwa wazazi wako..
Shetani ni kiumbe wa kufikirika tu, hayupo kwa uhalisi.
Kama yupo nithibitishie hivyo.
Ukiamini uwepo wa Mungu ni lazima uamini na uwepo wa shetani, ukishindwa kuamini moja kati ya hayo imani yako itakuwa na walakini..
anasifa ya kutoonekana