REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,313
- 1,852
Kama haonekani umejuaje kwamba yupo?
Sifa hii umeihakikishaje?
kwa sauti maana sauti ipo ila haionekani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama haonekani umejuaje kwamba yupo?
Sifa hii umeihakikishaje?
unaamini uwepo wa hewa? Kiranga
Sitaki kuamini, nataka kujua.
Hewa ipo, inapimika, inaelezeka, inawagika, inabebeka, inakwisha, inaonezeka, inamwendo.
Si kitu ambacho hakielezeki.
Haina logical inconsistency.
Mungu na shetani hawana hata kimoja kati ya vyote nilivyovitaja hapo juu.
aliyetengeneza hizo sifa hawezi julikana kwa hizo sifa maana yeye ndo ametengeneza vipimo na sifa
Kama hivyo ndivyo, wewe umejuaje kwamba yupo?
huwa naongea naye
Unajuaje kwamba si ndoto za kichaa tu hizo?
kwa sauti maana sauti ipo ila haionekani
Sauti imejuaje kwamba ni ya mungu?
Sauti gaionekani, bali unasikika.
Unataka kutuambia unesikia sauti ya mungu?
Unajuaje kwamba si mjani tu ulikuwa unakupelekapeleka?
1.imesema yenyewe
2.kwanini uhisi ni mjani na si kitu kingine?ushawahi tumia ukakupeleka
kwasababu nazifahamu ndoto za kichaa
je unajua ulimwengu wa vichaa upoje?
1. Nikirekodi sauti isemayo Kiranga mungu na kukuchezea utakubali hivyo?
2. Mjani natumia kila siku, wa chai, Darjeeling. Wewe unatumia upi?
where on earth is your recorded voice present in the middle of a jungle?
natumia fish heads na milk daily
Unazifahamuje ndoto za kichaa?
Ushawahi kuwa kichaa?
Ibam afraid you could very well be hallucinating.
go to the point
You have not estblished a proof that god or satan exists.