Je kuna mahusiano yoyote kati ya alama zinazotumika kwenye pesa na shetani?

 

Arusha hakuna hotel yenye nyota tano
 

alama kwenye noti ni za kishetani mf.A dager and a snake ni alama pure ya kishetani na ipo kwenye pharmacy,noti ya mia tano,magari,rozari,muhimbili
wakimaanisha nyoka ni mungu afya,mungu mtetezi na mungu mlinzi hii alama ipo toka acient times kule misri
 

Halafu unajiona mjuaaaji kweli..!!!

Kaangalie afya yako ya akili haraka sana...
 
Mi nadhani havina uhusiano.kwanza kila symbol ktk noti huwa inawakilisha k2 fulani.mfano ile noti ya mia 5 ile symbol kama ya nyoka 2liwah kuuliza kule B.0.T na 2kaambiwa haimanishi hvyo.hivyo hvyo ktk noti za USA zile symbol zina maana yake offcial kabisa.
 

ile alama ya mhimbili siyo alama ya nyoka ni ya alama ya aina ya mnyoo
 

Haya maelezo hata mtoto anayajua.....
 
ile alama ya mhimbili siyo alama ya nyoka ni ya alama ya aina ya mnyoo

ile ni alama ya dager and a snake it is an illuminati symbol,hawawezi kusema ukweli,uwongo ni silaha yao kubwa
 

hiyo maana ambayo ni official ni ipi?george w bush aliulizwa alama ya fuvu na mifupa ikulu hakujibu,aliulizwa 232 chini ya alama hiyo ni ishara gani hakujibu after 3days mwandishi wa habari alifariki kwa a mysterious accident
 
Nakusikitikia maana unachodhani unakijua wewe hukijui...Huu ni msiba kwa wazazi wako..

pinga hoja stop personalities attack they prove how moron you are only thinkers mess with facts and ideas,i dont see any of your points bt goony phrases

sahau kuhusu wazazi wangu that is totally a crime.
 
Shetani ni kiumbe wa kufikirika tu, hayupo kwa uhalisi.

Kama yupo nithibitishie hivyo.
 
Ukiamini uwepo wa Mungu ni lazima uamini na uwepo wa shetani, ukishindwa kuamini moja kati ya hayo imani yako itakuwa na walakini..

Shetani na mungu wote hawathibitishiki.

Ni hadithi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…