Je kuna mahusiano yoyote kati ya alama zinazotumika kwenye pesa na shetani?


Translation "I cannot prove his existence, I don't know jack about what I am talking about".
 
Oooh bora mimi sina hela...maana kwa muktadha huu mwenye hela nyingi si ajabu akawa anakaimu kiti cha ndugu Shetani akiwa kwenye shughuli nyingine za kikazi!
We jipe moyo tu kwa umaskini wako wenzio wanazisaka pesa usiku na mchana!
 

kwa mfano,B.O.T waliwaambia ile symbol ya nyoka kwe note ya mia 5 ina maana gani?
 
hiyo maana ambayo ni official ni ipi?george w bush aliulizwa alama ya fuvu na mifupa ikulu hakujibu,aliulizwa 232 chini ya alama hiyo ni ishara gani hakujibu after 3days mwandishi wa habari alifariki kwa a mysterious accident

Haya mambo yapo mkuu ila kwa ssi ordinary persons katuwez jua kabisa tunabak tu kusema ni conspiracies..Na mara nyingi ukiwahoji san kuhusu ivi vitu wanaku eliminate fasta..
 
Haya mambo yapo mkuu ila kwa ssi ordinary persons katuwez jua kabisa tunabak tu kusema ni conspiracies..Na mara nyingi ukiwahoji san kuhusu ivi vitu wanaku eliminate fasta..

hizi alama zina maana tena sana na sio conspiracy
 

Rejea Kwenye Biblia Pale Yesu Alipojaribiwa Na Shetani Alimwambia NITAKUPA MILKI YOTE HII YA ULIMWENGU ENDAPO UTANISUJUDIA MIMI. Kwa Hiyo Mali Zote Sijui
Dhahabu
Fedha
Mafuta
Gasi
Almasi
Na Madini Yote Unayoyafahamu Wewe Ni MAVI YA SHETANI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…