Mtengwa II
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 955
- 1,582
Huu ni ukweli mchungu, hata mimi niliuzingumza hapaChaguzi ndogo zilizofanyika zimetosha kutoa picha ya uchaguzi mkuu 2020. Kwa mtazamo wangu kwa yanayoendelea na yanayofanyika itakuwa ngumu sana mbunge wa upinzani kutoboa 2020 kama hawatafanya mabadiriko yanayohitajika
Usifikiri kila asemaye hivi anasema kwa ubaya ni kuwaamsha wasilaleMawazo ya kijinga sana!! Kumbuka uchaguzi mkuu 2020 hakutakuwa na kupeana kampani kama ilivyo chaguzi za marudio! Kila mtu atakomaa na jimbo lake na sound zake!! Hata mzee jiwe na Sili-nde watakuwa wanapambana na majimbo yao! Hali itakuwa ngumu sana, jasho litawatoka na sauti kukauka! Watatamani waungane kupiga bao la mkono ila itashindikana kwa ubize majimboni!
Naona mwenzetu unaishi ulaya?Then mtaonja ladha ya utawala wa chama kimoja kwa mara nyengine
Kuishi kwangu ulaya hakutaweza kuwanusuru na ladha hiyoNaona mwenzetu unaishi ulaya?
Tatizo wamefunika macho kwa kusema wananunuliwa, kuna mageuzi ya msingi sana yanayohitajika ndani ya vyama vyetu na aina ya siasa waifanyayo, lazima wabadili strategy ila kwa mwendo huu sioni mbunge anayerudi 2020Huu ni ukweli mchungu, hata mimi niliuzingumza hapa
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForums
P
Nikajua unaelewa kinachotokea kumbe unafikiri wananchi wanachagua hiyo Ccm! Wanaochagua Ni wachache mno shida Ni wanaotangaza wanatangazaje! Nadhani solution utakuwa haipo mbali.Tatizo wamefunika macho kwa kusema wananunuliwa, kuna mageuzi ya msingi sana yanayohitajika ndani ya vyama vyetu na aina ya siasa waifanyayo, lazima wabadili strategy ila kwa mwendo huu sioni mbunge anayerudi 2020
Mkuu labda hujanielewa, usemacho yawezekana kina ukweli ila kwa stahili hii unadhani tutafika?Nikajua unaelewa kinachotokea kumbe unafikiri wananchi wanachagua hiyo Ccm! Wanaochagua Ni wachache mno shida Ni wanaotangaza wanatangazaje! Nadhani solution utakuwa haipo mbali.
Wananchi wakiamua kuwa serious na kurazao basi utaiina u- turn. Hapo wapinzani wametriple ILA system inategemea kimoja tuu vitisho plus propaganda!!
Uliongea as if hao watu wanapendwa saana na wanashinda hivyo upinzani wanahali ngumu na hawaeleweki Kwa jamii! While Ni vise versa! Hao kwasasa ukitokea uchaguzi hawatapata hata1/10 ya majimbo, wanasababisha kuchukiwa kupita upeo na jamii!Mkuu labda hujanielewa, usemacho yawezekana kina ukweli ila kwa stahili hii unadhani tutafika?
Labda hayo machafuko mtayafanyia hapo hapo ufipa. Acheni kuota ndoto ya machafuko, haipo.kitakachotokea 2020. mungu anajua. wapinzani wakiwa kondoo, ccm itazoa majimbo yote. upinzani wakikomaa tujiandae kuona nchi ikichafuka. ccm wakikubali kuingia na tume hii 2020 wawe tayari kulitumbukiza taifa kwenye matatizo.
Vitu maalum vya waitara na wenzie.. Kwani wameshindana na nani?unafahamu vigezo vya upatikanaji wa wabunge wa viti maalumu kwa chama husika? vinginevyo kila chama hata CHAUMA kingekuwa na mbunge wa viti maalumu bungeni
Hayo ni mawazo yasiyo sahihi.katika nchi ya demokrasia huwezi kuongelea mfumo wa Chama kimoja.Nadhani hata Rais Hana mpango huo wa kufanya nchi iwe ya Chama kimoja.kwa kufanya hivyo tutakuwa tunaweka fukuto lisilo na sababu na ambayo itafanya turudi nyuma sana.Aliyekuambia kuwa mpaka 2020 kutakuwa na upinzani ni nani? Tumewekeza kuirudisha nchi katika mfumo wa chama kimoja chama dola.
Dunia ina sanga mbele.mfumo wa Chama kimoja ulijaribiwa karibu na nchi zote za afrika lakini ulishindikana kwa sababu unaweka tabaka la watawala yaani wanaoamua na wengine wote tunabaki wasindikizaji.mfumo wa vyama vingi unamfanya mtawala kufanya au kuleta maendeleo akijua akikosea wananchi watawaondoa.mfumo wa vyama vingi una faida nyingi kwa wananchi kuliko mfumo wa Chama kimojaHayo ni mawazo yasiyo sahihi.katika nchi ya demokrasia huwezi kuongelea mfumo wa Chama kimoja.Nadhani hata Rais Hana mpango huo wa kufanya nchi iwe ya Chama kimoja.kwa kufanya hivyo tutakuwa tunaweka fukuto lisilo na sababu na ambayo itafanya turudi nyuma sana.
Mimi natamani wabunge wa upinzani wawe wengi ili kuwepo na checks and balances.bila upinzani hakuna checks and balances katika nchiHayo ni mawazo yasiyo sahihi.katika nchi ya demokrasia huwezi kuongelea mfumo wa Chama kimoja.Nadhani hata Rais Hana mpango huo wa kufanya nchi iwe ya Chama kimoja.kwa kufanya hivyo tutakuwa tunaweka fukuto lisilo na sababu na ambayo itafanya turudi nyuma sana.