uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Michezo Ina hela sana hasa hizi team zikienda kimataifa sema ndio bado hatujaangalia hili jambo kwa jicho la pekee ila michezo imeitajirisha Uingereza na Spain kwa mda mrefu sanaKuna timu kubwa mwaka jana,Rais waje akisema kwenye mkutano mkuu kuwa walikuwa na nakishi ya milioni nyingi sana