Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Huwezi kuelewa hata hiyo biashara yaweza kuwa mojawapo.Hakuna Biashara nzuri kama mpira kwa sasa,, hao Singida Big Star msimu huu wamemuuza mchezaji wao Benjamin Tanimu kwenda Ulaya kwa zaidi ya billion 2,, hakuna cha utakatishaji pesa wala nini ni hesabu tu na ku-take risk ya kile unachowekeza,, mchawi mtaji,,