Je Kuna mtu anawaza juu ya umoja wa kitaifa baada ya uchaguzi.

Je Kuna mtu anawaza juu ya umoja wa kitaifa baada ya uchaguzi.

kvcm

Member
Joined
May 23, 2019
Posts
10
Reaction score
9
Leo ndo hitimisho la novena na waislamy Leo wapo diamond jubilee kumuombea raisi ashinde kwa kishindo.
.
.
Acha tuone mwisho wake
 
Hakuna haja ya kuwepo kwa Umoja wa kitaifa, ili mradi polisi wapo. Wataua yeyote atakayejaribu kumpinga mama na serikali yake.
 
Leo ndo hitimisho la novena na waislamy Leo wapo diamond jubilee kumuombea raisi ashinde kwa kishindo.
.
.
Acha tuone mwisho wake
Wafungiwe hawa masheikh ubwabwa, Wanachanga ya dini na siasa.
 
Back
Top Bottom