Je, kuna mtu yeyote aliyefanikiwa kumrejesha mpenzi wake wa zamani(ex)? Ulifanyaje?

Je, kuna mtu yeyote aliyefanikiwa kumrejesha mpenzi wake wa zamani(ex)? Ulifanyaje?

Mowwo

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2015
Posts
1,083
Reaction score
1,628
Wakuu nadhani mko poa

Katika maisha ya mahusiano, kuna wakati mnatofautiana au zinatokea changamoto mpk kupelekea kuachana au kutengana. Kumrudia mpenzi wangu wa zamani(my ex) Huu haukuwa mpango wangu, siku zote nilikubali hali halisi na kuendelea kuishi maisha yangu bila wao(katika mahusiano yote niliyopitia).

Waliponiacha, niliheshimu maamuzi yao, nilitulia na kuwatakia kila la kheri. Kisha sikuwasiliana nao, lakini kwa nia kuendelea kuishi maisha yangu bila wao kuwa sehemu ya maisha yangu ya baadaye. Kwa sababu nilionyesha kutokujali, kujitenga na kuwa tayari kuendelea.

Tatizo kuna ex wangu mmoja natamani kurudisha mahusiano yangu kwake. Najiskia kumpenda sana, najutia kumuacha, sasaivi amekua mzuri sana🤭 na tayari tunawasiliana. Tatizo hataki mahusiano na mimi tena. Wewe ulitumia mbinu gani kumrudisha ex wako? Uligharamika kiasi gani? Mahusiano yalidumu?

======

Soma pia > Namna ya kumrudisha X wako bila ya kuumiza kichwa wala kuonekana king’ang’anizi
 
Wakuu nadhani mko poa

Katika maisha ya mahusiano, kuna wakati mnatofautiana au zinatokea changamoto mpk kupelekea kuachana au kutengana. Kumrudia mpenzi wangu wa zamani(my ex) Huu haukuwa mpango wangu, siku zote nilikubali hali halisi na kuendelea kuishi maisha yangu bila wao(katika mahusiano yote niliyopitia).
Baada ya miaka 5 alirudi

Baada ya miaka 3 alirudi

NitaendeleA....

Huyo wa juu na mimba juu nimemjaza

Note....tuliachana in peaceful
 
Kama alikuacha na akapata better man itakua ngumu sana kumrudisha. Wakati uko nae hakuwa mzuri sasa ivi unamuona mzuri kuna mwamba anaplay part yake vizuri kwa kumfanya apendeze, kaa chonjo wakati wako ushapita!
 
SULUHISHO PEKEE LA KUEPUKANA NA Xs NI KU MOVE ON.
NAKUAPIA KURUDIANA NA X MAPENZI HAYAWEZ KUWA SAWA KAMA MWANZO
Natamani hivo lakini najiskia kumpenda sana. Nawaza kumtafuta tuu kila mara
 
Aise ata mie ngoja nipate tips hapa. Kuna mwanamke natamani sana nirudishe majeshi ila dah kama kaniwekea kauzibe ila sometimes ana respond vizuri tukichat....tupeni mbinu wajuzi wa mambo
Mkuu uko kwenye situation yangu kabisa yani. Nikirudisha majeshi pale naona kama ntakua nimewin kinoma
 
Baada ya miaka 5 alirudi

Baada ya miaka 3 alirudi

NitaendeleA....

Huyo wa juu na mimba juu nimemjaza

Note....tuliachana in peaceful
Mkuu tupe madini, ulifanyeje? Mbona anakubal kuchat au kumuona lkn hataki mapenz?
 
Wee mtafute tuu achana na hawa watu wa jf hawataki furaha yako.
Kama unapenda mrudie tuu ex wako bwana.
Nikipata mbinu alaf nikarudi kwenye lile jimbo lazima nirudishe shukrani JF😀
 
Mkuu uko kwenye situation yangu kabisa yani. Nikirudisha majeshi pale naona kama ntakua nimewin kinoma
Wee turudiahe majeshi tuu mwanawane....kama kukamatika ndio tulishakamatika hatuna ujanja kwa hawa warembo wetu. Ah mie wacha kwanza nimtumie buku 20 hapa la lunch alafu nisindikize na sms za bby come back
 
Back
Top Bottom