Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Kabichi sawa. Ila kiporo cha wali maharagwe ni kitamu balaa!Mimi huwa wanarudi wenyewe, nikiachana na mtu lazima atarudi round ya pili... Bahati mbaya sipashagi makabichi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabichi sawa. Ila kiporo cha wali maharagwe ni kitamu balaa!Mimi huwa wanarudi wenyewe, nikiachana na mtu lazima atarudi round ya pili... Bahati mbaya sipashagi makabichi...
Huku ni kujishusha thamani.Natamani hivo lakini najiskia kumpenda sana. Nawaza kumtafuta tuu kila mara
Wanawake huwa hawaridhiki na hela mjaze tu hiyo njia pekee itakusaidiaKwao mambo safi mkuu.
Labda nitume kiasi gani sijui
HAPANA Mkuu mimi nishavuka huko, Dunia hii ina wanawake kibao,sema ndo hivyo oneitis ilikushika utahis huyo demu ndo mzuri dunia nzima hakuna[emoji23]Mkuu kwa huyu dem ata km ungekua wew ungetaka kurudi. Maana ni mkali kila idara. Alaf swala la kupenda halina mipaka mfn km ni ex bas nisiwe na hisia. [emoji3][emoji3]ngoja nitafute resources nichote wakutosha. Hii tab itaisha
Hainaga ladha unajishusha hadhi....endelea na Safari yako...tuJamaa unanikatisha tamaaa. Uliwah rudi kwa ex mambo yakaenda vibaya nn?