Je, kuna mtu yeyote aliyefanikiwa kumrejesha mpenzi wake wa zamani(ex)? Ulifanyaje?

Je, kuna mtu yeyote aliyefanikiwa kumrejesha mpenzi wake wa zamani(ex)? Ulifanyaje?

Mkuu kwa huyu dem ata km ungekua wew ungetaka kurudi. Maana ni mkali kila idara. Alaf swala la kupenda halina mipaka mfn km ni ex bas nisiwe na hisia. [emoji3][emoji3]ngoja nitafute resources nichote wakutosha. Hii tab itaisha
HAPANA Mkuu mimi nishavuka huko, Dunia hii ina wanawake kibao,sema ndo hivyo oneitis ilikushika utahis huyo demu ndo mzuri dunia nzima hakuna[emoji23]
 
Back
Top Bottom