Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UnawezaWakuu nadhani mko poa
Katika maisha ya mahusiano, kuna wakati mnatofautiana au zinatokea changamoto mpk kupelekea kuachana au kutengana. Kumrudia mpenzi wangu wa zamani(my ex) Huu haukuwa mpango wangu, siku zote nilikubali hali halisi na kuendelea kuishi maisha yangu bila wao(katika mahusiano yote niliyopitia).
Waliponiacha, niliheshimu maamuzi yao, nilitulia na kuwatakia kila la kheri. Kisha sikuwasiliana nao, lakini kwa nia kuendelea kuishi maisha yangu bila wao kuwa sehemu ya maisha yangu ya baadaye. Kwa sababu nilionyesha kutokujali, kujitenga na kuwa tayari kuendelea.
Tatizo kuna ex wangu mmoja natamani kurudisha mahusiano yangu kwake. Najiskia kumpenda sana, najutia kumuacha, sasaivi amekua mzuri sana🤭 na tayari tunawasiliana. Tatizo hataki mahusiano na mimi tena. Wewe ulitumia mbinu gani kumrudisha ex wako? Uligharamika kiasi gani? Mahusiano yalidumu?
🤣🤣hela nampa sema mwanzo tulitenganishwa kwa sabab ya umbali. Sasaivi mambo yatakua🔥🔥Wenzio wanajua kunza sasa unamtamani tena, kwahiyo angekuwa kafubaa kama makopa meusi wala usingemtani, mwache aendelee na maisha yake, tafuta mwingine nawewe mtunze vizuri atakuwa mzuri tu, mmezidi ubahiri mwache dada wawatu tafuta wakufanana nawe.
Hv ni makabichi or matapishiMimi huwa wanarudi wenyewe, nikiachana na mtu lazima atarudi round ya pili... Bahati mbaya sipashagi makabichi...
Binafsi kurudiana na EX kwangu ni Mwiko.Wakuu nadhani mko poa
Katika maisha ya mahusiano, kuna wakati mnatofautiana au zinatokea changamoto mpk kupelekea kuachana au kutengana. Kumrudia mpenzi wangu wa zamani(my ex) Huu haukuwa mpango wangu, siku zote nilikubali hali halisi na kuendelea kuishi maisha yangu bila wao(katika mahusiano yote niliyopitia).
Waliponiacha, niliheshimu maamuzi yao, nilitulia na kuwatakia kila la kheri. Kisha sikuwasiliana nao, lakini kwa nia kuendelea kuishi maisha yangu bila wao kuwa sehemu ya maisha yangu ya baadaye. Kwa sababu nilionyesha kutokujali, kujitenga na kuwa tayari kuendelea.
Tatizo kuna ex wangu mmoja natamani kurudisha mahusiano yangu kwake. Najiskia kumpenda sana, najutia kumuacha, sasaivi amekua mzuri sana[emoji2960] na tayari tunawasiliana. Tatizo hataki mahusiano na mimi tena. Wewe ulitumia mbinu gani kumrudisha ex wako? Uligharamika kiasi gani? Mahusiano yalidumu?
Hapana mkuu bora hata ningekuwa nawahonga au kuwapa hela... ni mkuyenge tuu... kuna mmoja nakumbuka nilipga mpka anaolewa na mimba juu ya miezi 8 nkaendelea kuchakata ..mpka anajifungua na mtt mchanga bado akawa anataka nkamchakate... nkamchakata mara 1 nkaona atakuja kuniletea shida bure nkapita hivii.... tatzo lango ni moja katika asilimia ya ma ex nkiwachakata hawakawii wanaolewa na kupata ndoa... ila hata baada ya ndoa huwa hawatulii wanaendelea kujileta ... Mwanamke akili zake anazijua mwnyew maana smtym unajihoji mbona simpi hela simpi chochote lakn ni king'ang'aniziUliwapa nini mpaka wanakung'angania? Hamn ambae umepata nae tabu kumgegeda baad ya kuachana?
Mkuu nimekuelewa sanaHamna mbinu Bali ni kuishi vizuri na mwanamk wako wakat wa mahusiano ili atakapo toka apo akaenda sehemu Nyingine akapigwa matukio atajua kwamba ulikua unampenda Kweli.
Mara nyingi Mpenzi akirudi kwako basi itakua labda mwanzo alifanya maamuzi Kwa hasira ila anakupenda(km kuna Ugomvi) au Karudi Kwako Kupata Nafuu Baada ya Kukutana na Vjana wa Sinza na unakuta hana mapenz yale deeply hii inakua conditional Love,, au Karudi Kwako Baada ya Kuona kwamba Saivi una Interest Fulani km Pesa, Physical appearance etc.
Mambo huwa ni Mengi kwenye Swala la Mahusiano,, Ni Vigumu sana kuishi na mtu ambae hamjakua nae Pamoja
Nimeupitia, na nimeuelewa😃Gusa link hiyo utapata njia rahisi za kumrudisha ex wako
Namna ya kumrudisha X wako bila ya kuumiza kichwa wala kuonekana king’ang’anizi
Ni watu wengi walio katika mahusiano uachana na kutaka kurudiana. Neno Ex limekuwa ni neno maarufu sana na lenye kuonyeshwa uadui, visasi, uchafu, sumu, mkomoeni, kukosa uaminifu, tamaa, mapungufu katika mapenzi, kupitwa na wakati na kitofaa, bila kujali jinsia ya kike ama ya kiume wote huwa na...www.jamiiforums.com
Itakua unapiga show kali🤣Hapana mkuu bora hata ningekuwa nawahonga au kuwapa hela... ni mkuyenge tuu... kuna mmoja nakumbuka nilipga mpka anaolewa na mimba juu ya miezi 8 nkaendelea kuchakata ..mpka anajifungua na mtt mchanga bado akawa anataka nkamchakate... nkamchakata mara 1 nkaona atakuja kuniletea shida bure nkapita hivii.... tatzo lango ni moja katika asilimia ya ma ex nkiwachakata hawakawii wanaolewa na kupata ndoa... ila hata baada ya ndoa huwa hawatulii wanaendelea kujileta ... Mwanamke akili zake anazijua mwnyew maana smtym unajihoji mbona simpi hela simpi chochote lakn ni king'ang'anizi