Je, kuna mtu yeyote aliyefanikiwa kumrejesha mpenzi wake wa zamani(ex)? Ulifanyaje?

Je, kuna mtu yeyote aliyefanikiwa kumrejesha mpenzi wake wa zamani(ex)? Ulifanyaje?

Aise ata mie ngoja nipate tips hapa. Kuna mwanamke natamani sana nirudishe majeshi ila dah kama kaniwekea kauzibe ila sometimes ana respond vizuri tukichat....tupeni mbinu wajuzi wa mambo
Inategemea unamalengo gan
 
Ongeza hela, uwe na hela ndefu, utaona hata ufukuze vipi hawakuachi ng'ooo.. So Ex wengi wanaondoka moja kwa moja kama huna hela..
 
Daah Bantu lady shukrani sana.
Nilianza na gia kubwa ya kumtafuta mara kwa mara. Kwahy inabid nipunguze kuonesha namtaka sana
Acha kumtafuta kuanzia sekunde hii, utakuja kunishukuru... na huo muda unaona ni mwingi, but ndiyo itakusaidia nawewe pia kumsahau, atakutafuta yeye, kama pia ana mapenzi bado nawewe Mowwo
 
Wakuu nadhani mko poa

Katika maisha ya mahusiano, kuna wakati mnatofautiana au zinatokea changamoto mpk kupelekea kuachana au kutengana. Kumrudia mpenzi wangu wa zamani(my ex) Huu haukuwa mpango wangu, siku zote nilikubali hali halisi na kuendelea kuishi maisha yangu bila wao(katika mahusiano yote niliyopitia).

Waliponiacha, niliheshimu maamuzi yao, nilitulia na kuwatakia kila la kheri. Kisha sikuwasiliana nao, lakini kwa nia kuendelea kuishi maisha yangu bila wao kuwa sehemu ya maisha yangu ya baadaye. Kwa sababu nilionyesha kutokujali, kujitenga na kuwa tayari kuendelea.

Tatizo kuna ex wangu mmoja natamani kurudisha mahusiano yangu kwake. Najiskia kumpenda sana, najutia kumuacha, sasaivi amekua mzuri sana🤭 na tayari tunawasiliana. Tatizo hataki mahusiano na mimi tena. Wewe ulitumia mbinu gani kumrudisha ex wako? Uligharamika kiasi gani? Mahusiano yalidumu?
...introduction, paragraph ya kwanza na ya pili vinaonesha wewe ni KE ila paragraph ya tatu umeandika as ME...sasa unanichanganya wewe ni KE au Me?tuanzie hapo.
nb : kama ni KE hiyo username ya Mowwo ingependeza na kapicha kenye liwowo kidogo sio simba.
 
Mimi nkimgegeda mwanamke hata akiniacha huwa anarudi mwnyewe so nna msururu wa ma ex naangaliaga nani nmemmis kupasha na nkishapasha napita hivi...
Note: ndomu ihusike kwa x
 
Mi mpaka nawa block sema nilichogundua mwanamke ukimuacha ndo unakuwa na mzuka wa kurudiana naye ila akikuacha hali inakuwa tofauti sana ex harudiwi
 
Hii Mali Niko nayo Sasa ,tumeachana na kurudiana zaidi ya mara 5
Niko nayo mwaka 4 Sasa na mwezi 11 huu panapo majaliwa tunaingia hatua nyingine kabisaaaaa.....
Ilinifanyia vitimbi too much nusu initoe roho

Pambaneni bhanaa ex anarudiwa,wekeni kiburi na jeuri pembeni
 
Mi wamejaribu kurudi ila wameshindwa, ni mmoja tu ndo nipo naye hadi sasa sema alitumia nguvu ya pesa kunivuta, Mara ya kwanza alikuwa bahili balaa
Hii point ya hela ndo ya msingi hii
 
Back
Top Bottom