Ngoja nikupe hii njia na huyo hit and run
mzabzab 🤣🤣🤣🤣.
Unapoachana na mpenzi wako, ukianza kumsumbua mrudiane, kikawaida anapata bichwa na atakuringia tu. Mwingine hakutaki tena, vile unamsumbua ndiyo unazidi kuharibu.
Cha kufanya fata njia ya No contact rule... Hii ni hivi mkiachana usimtext, usimpigie, usimwangalie kwenye mtandao wowote wa kijamii. Kata mawasiliano naye, ya aina yoyote.
Sehemu anazopenda kwenda usiende, ili tu kuepusha kukutana naye. No contact rule huchukua siku 30 - 60. Fanya hivi halafu utaleta mrejesho...