Je, kuna mtu yeyote aliyefanikiwa kumrejesha mpenzi wake wa zamani(ex)? Ulifanyaje?

Kumbuka mliachana kwa sababu , na kama hzo sababu hamjazifanyia marekebisho mnaweza rudiana mkaachana tena
 
Wakuu nadhani mko poa

Katika maisha ya mahusiano, kuna wakati mnatofautiana au zinatokea changamoto mpk kupelekea kuachana au kutengana. Kumrudia mpenzi wangu wa zamani(my ex) Huu haukuwa mpango wangu, siku zote nilikubali hali halisi na kuendelea kuishi maisha yangu bila wao(katika mahusiano yote niliyopitia).

Waliponiacha, niliheshimu maamuzi yao, nilitulia na kuwatakia kila la kheri. Kisha sikuwasiliana nao, lakini kwa nia kuendelea kuishi maisha yangu bila wao kuwa sehemu ya maisha yangu ya baadaye. Kwa sababu nilionyesha kutokujali, kujitenga na kuwa tayari kuendelea.

Tatizo kuna ex wangu mmoja natamani kurudisha mahusiano yangu kwake. Najiskia kumpenda sana, najutia kumuacha, sasaivi amekua mzuri sana🤭 na tayari tunawasiliana. Tatizo hataki mahusiano na mimi tena. Wewe ulitumia mbinu gani kumrudisha ex wako? Uligharamika kiasi gani? Mahusiano yalidumu?
Unaweza
 
Wenzio wanajua kunza sasa unamtamani tena, kwahiyo angekuwa kafubaa kama makopa meusi wala usingemtani, mwache aendelee na maisha yake, tafuta mwingine nawewe mtunze vizuri atakuwa mzuri tu, mmezidi ubahiri mwache dada wawatu tafuta wakufanana nawe.
 
Kumbuka mliachana kwa sababu , na kama hzo sababu hamjazifanyia marekebisho mnaweza rudiana mkaachana tena
Nimejifunza tayari, na sitakua mbali nae km ilivokua mwanzoo. Kwahy distance haipoo
 
Wenzio wanajua kunza sasa unamtamani tena, kwahiyo angekuwa kafubaa kama makopa meusi wala usingemtani, mwache aendelee na maisha yake, tafuta mwingine nawewe mtunze vizuri atakuwa mzuri tu, mmezidi ubahiri mwache dada wawatu tafuta wakufanana nawe.
🤣🤣hela nampa sema mwanzo tulitenganishwa kwa sabab ya umbali. Sasaivi mambo yatakua🔥🔥
 
Hamna mbinu Bali ni kuishi vizuri na mwanamk wako wakat wa mahusiano ili atakapo toka apo akaenda sehemu Nyingine akapigwa matukio atajua kwamba ulikua unampenda Kweli.
Mara nyingi Mpenzi akirudi kwako basi itakua labda mwanzo alifanya maamuzi Kwa hasira ila anakupenda(km kuna Ugomvi) au Karudi Kwako Kupata Nafuu Baada ya Kukutana na Vjana wa Sinza na unakuta hana mapenz yale deeply hii inakua conditional Love,, au Karudi Kwako Baada ya Kuona kwamba Saivi una Interest Fulani km Pesa, Physical appearance etc.
Mambo huwa ni Mengi kwenye Swala la Mahusiano,, Ni Vigumu sana kuishi na mtu ambae hamjakua nae Pamoja
 
Wakuu nadhani mko poa

Katika maisha ya mahusiano, kuna wakati mnatofautiana au zinatokea changamoto mpk kupelekea kuachana au kutengana. Kumrudia mpenzi wangu wa zamani(my ex) Huu haukuwa mpango wangu, siku zote nilikubali hali halisi na kuendelea kuishi maisha yangu bila wao(katika mahusiano yote niliyopitia).

Waliponiacha, niliheshimu maamuzi yao, nilitulia na kuwatakia kila la kheri. Kisha sikuwasiliana nao, lakini kwa nia kuendelea kuishi maisha yangu bila wao kuwa sehemu ya maisha yangu ya baadaye. Kwa sababu nilionyesha kutokujali, kujitenga na kuwa tayari kuendelea.

Tatizo kuna ex wangu mmoja natamani kurudisha mahusiano yangu kwake. Najiskia kumpenda sana, najutia kumuacha, sasaivi amekua mzuri sana[emoji2960] na tayari tunawasiliana. Tatizo hataki mahusiano na mimi tena. Wewe ulitumia mbinu gani kumrudisha ex wako? Uligharamika kiasi gani? Mahusiano yalidumu?
Binafsi kurudiana na EX kwangu ni Mwiko.

Ila kuna baadhi nikitaka kupasha kiporo napasha any time..

Mie cha kukushauri ni kwamba:-

1- Jiimarishe Kiuchumi

2- Usiyaweke mahusiano yako mapya hadharani

3- Usiwe na Shobo naye saana.. Yaan usimpapatikie ukituma txt asipojibu usiongeze txt juu .. Kausha mazima ipo siku atakuchek na akikuchek lipiza.. Yaan kuwa na Ego.

4- Jitahidi uonane nae Uso kwa uso.. Hii Ex yeyote uliyekuw unamkanda vizuri lazm alegee

5- Nukia pendeza.. Jenga mwili.. Chill
 
Na ex wangu tuliachana nikala block za kutosha kila kona .na mimi nka fanya kujazia block kwa juu yani siku akini unblock ana kutana na hewa, Ime pita miez 8 wiki ilio pita nashangaa sms ya (mambo) no mpya kucheki ni yeye na ka create account mpya anani follow kila sehemu na kulike like post Zangu zote .. nme fanya kutulia kama simjui vile nasubiri Step yake inayo fata
 
Uliwapa nini mpaka wanakung'angania? Hamn ambae umepata nae tabu kumgegeda baad ya kuachana?
Hapana mkuu bora hata ningekuwa nawahonga au kuwapa hela... ni mkuyenge tuu... kuna mmoja nakumbuka nilipga mpka anaolewa na mimba juu ya miezi 8 nkaendelea kuchakata ..mpka anajifungua na mtt mchanga bado akawa anataka nkamchakate... nkamchakata mara 1 nkaona atakuja kuniletea shida bure nkapita hivii.... tatzo lango ni moja katika asilimia ya ma ex nkiwachakata hawakawii wanaolewa na kupata ndoa... ila hata baada ya ndoa huwa hawatulii wanaendelea kujileta ... Mwanamke akili zake anazijua mwnyew maana smtym unajihoji mbona simpi hela simpi chochote lakn ni king'ang'anizi
 
Gusa link hiyo utapata njia rahisi za kumrudisha ex wako
 
Hamna mbinu Bali ni kuishi vizuri na mwanamk wako wakat wa mahusiano ili atakapo toka apo akaenda sehemu Nyingine akapigwa matukio atajua kwamba ulikua unampenda Kweli.
Mara nyingi Mpenzi akirudi kwako basi itakua labda mwanzo alifanya maamuzi Kwa hasira ila anakupenda(km kuna Ugomvi) au Karudi Kwako Kupata Nafuu Baada ya Kukutana na Vjana wa Sinza na unakuta hana mapenz yale deeply hii inakua conditional Love,, au Karudi Kwako Baada ya Kuona kwamba Saivi una Interest Fulani km Pesa, Physical appearance etc.
Mambo huwa ni Mengi kwenye Swala la Mahusiano,, Ni Vigumu sana kuishi na mtu ambae hamjakua nae Pamoja
Mkuu nimekuelewa sana
Japo wapo ambao wakienda sehem nyingine wakapigwa matukio wanakukumbuka lkn hawakupi nafasi kuwarudia. Yani bora kumtengezea interest yeye arudi
 
Gusa link hiyo utapata njia rahisi za kumrudisha ex wako
Nimeupitia, na nimeuelewa😃
 
Unamrejesha wa nini, akisepa unaanza ukurasa mwingine. Labda kama yuko tayari kuwekana kiaina
 
Hapana mkuu bora hata ningekuwa nawahonga au kuwapa hela... ni mkuyenge tuu... kuna mmoja nakumbuka nilipga mpka anaolewa na mimba juu ya miezi 8 nkaendelea kuchakata ..mpka anajifungua na mtt mchanga bado akawa anataka nkamchakate... nkamchakata mara 1 nkaona atakuja kuniletea shida bure nkapita hivii.... tatzo lango ni moja katika asilimia ya ma ex nkiwachakata hawakawii wanaolewa na kupata ndoa... ila hata baada ya ndoa huwa hawatulii wanaendelea kujileta ... Mwanamke akili zake anazijua mwnyew maana smtym unajihoji mbona simpi hela simpi chochote lakn ni king'ang'anizi
Itakua unapiga show kali🤣
Wengine show tu haitoshi, kuna mambo ya ziada km kibunda
 
Unamrejesha wa nini, akisepa unaanza ukurasa mwingine.
Kuna watoto watamu, ukipiga show siku mmeachana unazikumbuka. Wengine wanazid kua wakali kila siku
 
Back
Top Bottom