Je, kuna mtu yeyote aliyewahi kushuhudia na kuthibitisha uchawi? Njoo tuongee hapa!

Kuna huu mtazamo wa kuona waganga wote wenye kudai au kujihusisha na kutibu masuala ya kichawi kuwa ni matapeli waliyokusudia kutapeli watu, lakini hali ilivyo ni kwamba waganga wengi hawakuwahi kutamani kuja kuwa waganga au hawakupenda kuwa waganga wengi walikuwa na ndoto zao zengine au maisha yao tofauti ila wamejikuta wanalazimika kuwa waganga.
 
Waambie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…