Je, kuna mtu yeyote aliyewahi kushuhudia na kuthibitisha uchawi? Njoo tuongee hapa!

Hiki ni kitu kisichofahamika au cha ajabu?

Tunajuaje ni uchawi?

Ajabu ni nini?

Uchawi ni nini?

Tunajuaje kuwa kitu kisichofahamika ni uchawi, wakati hatukifahamu?
Kwa mujibu wa mganga anasema aliwapa tahadhari kuna kitu kitatokea kabla ya hili tukio. Japo sifahamu nimejaribu kuchambua kwa kina na kusikiliza maoni ya wadau.
 
Alitoa specifics gani kuonesha alichokisema ni hiki na si utabiri wa jumla tu ambao tunauunganisha na hili retroactively tu?

Utabiri unatakiwa kuwa na muda soecific, kuwa na details specific.

Yani useme ifikapo mwezi wa nne mwaka 2026, kuna dudu fulani lenye features fulani litaonekana katika eneo fulani mahususi.

Siyo kusema tu kuna kitu cha ajabu kitatokea Tanzania.

Of course ukisema kuna kitu cha ajabu kitatokea Tanzania bila slecifics, kitatokea kitu kinachoonekana cha ajabu na ku fit utabiri huo.
 
Yeah ingawa kilicho anguka kina material zinazo ashiria superstition. Maana wamefunga funga plus site mirror.

Pengine itakuwa kama wanavyosema au la hatujui.
 
Imani ya uchawi ipo, lakini kuwapo imani ya uchawi hakumaanishi uchawi upo.

Kuna imani nyingi tu za kijinga za kuamini vitu vipo wakati havipo.
 
Ni kweli mkuu, lakini vitu kama hivi vya kufungafunga ma vitambaa vinatoka wapi?

Imagine mtu anaenda kwa mganga huyohuyo anakutana na vitu ajabu kwake. Inamaana how comes such a a coincidence inatokea at a right time
 
Kuna vitu unaweza kufikiri ni coincidence, au vya ajabu, lakini vimepangwa na hao hao waganga kujiongezea biashara tu.

Na hivi vitu vinaonekana vya ajabu na uchawi zaidi kwa watu ambao tayari wanaamini uchawi.

Kuna watu walionekana wanacheza ngoma uchi pembeni ya gari huko Mombasa Kenya.

Habari ikawa kuwa wale watu ni wezi, waliiba gari iliyowekewa ulinzi wa kichawi, wakazuzuka akili kwa uchawi wakavua nguo na kucheza uchi pembeni ya gari waliyoiiba, kutokana na uchawi.

Kwa mtu anayeamini uchawi, hii habari inathibitisha uchawi upo. Mtu atavuaje nguo acheze nje ya gari aliloliiba kama si uchawi?

Unaweza kuisoma hii habari hapa.

Lakini uchunguzi ukaja kugundua kuwa wale watu walipangwa tu kufanya hivyo na mganga mmoja wa haya mambo, ili kuvutia biashara yake.

Maana watu walioona hiyo episode na kuiamini wongi waliulizia huyo fundi yuko wapi aende kuwatengenezea mambo yao.

Kwa hivyo, unaweza kuona kitu ukafikiri huu ni uchawi kabisa, kumbe ni watu tu wanapambana na maisha yao katika uchumi huu mgumu.

Uchawi upo.
Majambazi wanaenda kuiba kwenye duka usiku ,mwenye duka kumbe ameweka ndumba asubuhi watu tunasikia makelele tunakuta wanazunguka zunguka kwenye hilo duka na silaa wamechanganyikiwa hawajielewi.
2005 nipo class 3 kuna mwanafunzi alipotea kitaa alipokuwa ameenda shule baada kama ya miaka 2 anakuja kurudi kama kichaa nyele zipo mgongoni nikama amepakwa tope kuchaa kama shetani baada ya kumpeleka hospital wakakuta hadi ulimi wamemkata haya matukio hata uje na vitabu ujifanye umesoma sijui takataka gani huwezi niambia uchawi haupo
 
View: https://www.instagram.com/reel/DXMPEiIjfCK/?igsh=N3E0NjZlMnAydjV2

Kiranga Yoda Infropreneur min -me UHURU JR Benzodiazepine

Nimekutana na hii taarifa leo🤔 wadau naomba muitazame tujulishane vizuri nini kilitokea hapa.

Kwa maelezo ya mganga nilivyosikiliza, kwa ufupi huyo mganga aliweka zindiko(kinga) katika hiyo nyumba ya hao wanafamilia ambao wanauguliwa na huyo mtoto wao. Hivyo hilo dude ni kama aina ya usafiri wa wachawi na siku hiyo ndio limenasa na kuanguka katika hiyo nyumba kutokana na kwamba hiyo nyumba imewekwa kinga.

Hivyo ndio kwa ufupi mie nilivyoelewa mkuu.
 
Kuna vitu unaweza kufikiri ni coincidence, au vya ajabu, lakini vimepangwa na hao hao waganga kujiongezea biashara tu.

Na hivi vitu vinaonekana vya ajabu na uchawi zaidi kwa watu ambao tayari wanaamini uchawi.

Kuna watu walionekana wanacheza ngoma uchi pembeni ya gari huko Mombasa Kenya.

Habari ikawa kuwa wale watu ni wezi, waliiba gari iliyowekewa ulinzi wa kichawi, wakazuzuka akili kwa uchawi wakavua nguo na kucheza uchi pembeni ya gari waliyoiiba, kutokana na uchawi.

Kwa mtu anayeamini uchawi, hii habari inathibitisha uchawi upo. Mtu atavuaje nguo acheze nje ya gari aliloliiba kama si uchawi?

Unaweza kuisoma hii habari hapa.

Lakini uchunguzi ukaja kugundua kuwa wale watu walipangwa tu kufanya hivyo na mganga mmoja wa haya mambo, ili kuvutia biashara yake.

Maana watu walioona hiyo episode na kuiamini wongi waliulizia huyo fundi yuko wapi aende kuwatengenezea mambo yao.

Kwa hivyo, unaweza kuona kitu ukafikiri huu ni uchawi kabisa, kumbe ni watu tu wanapambana na maisha yao katika uchumi huu mgumu.

Sifahamu vizuri lakini miaka kidogo hapo nyuma mzee wangu nakumbuk alienda kwa mtaalamu wa jadi. Maelekezo aliyopewa ni kwamba kuna mahali nyumbani maagano yaliandikwa kwa kiarabu yapo yamechimbiwa barabaran. Basi mzee akaja kama alivyoelekezwa Ile sehem ni barabara na ardhi yake ni ngumu. Mzee akachimba wakakutana na Hilo kopo na hayo maandishi.

Cha kushangaza huyo mganga ni wa mbali na hajawah kufika nyumbani.

Now how comes we can say hiki kitu hakipo?
 
Uchawi upo.
Majambazi wanaenda kuiba kwenye duka usiku ,mwenye duka kumbe ameweka ndumba asubuhi watu tunasikia makelele tunakuta wanazunguka zunguka kwenye hilo duka na silaa wamechanganyikiwa hawajielewi.
2005 nipo class 3 kuna mwanafunzi alipotea kitaa alipokuwa ameenda shule baada kama ya miaka 2 anakuja kurudi kama kichaa nyele zipo mgongoni nikama amepakwa tope kuchaa kama shetani baada ya kumpeleka hospital wakakuta hadi ulimi wamemkata haya matukio hata uje na vitabu ujifanye umesoma sijui takataka gani huwezi niambia uchawi haupo
Nimewahi kusikia similar story a lot of time. Nadhani sijajua either ni utekaji unaotokana na Imani potofu, au ni uchawi kweli
 
Sifahamu vizuri lakini miaka kidogo hapo nyuma mzee wangu nakumbuk alienda kwa mtaalamu wa jadi. Maelekezo aliyopewa ni kwamba kuna mahali nyumbani maagano yaliandikwa kwa kiarabu yapo yamechimbiwa barabaran. Basi mzee akaja kama alivyoelekezwa Ile sehem ni barabara na ardhi yake ni ngumu. Mzee akachimba wakakutana na Hilo kopo na hayo maandishi.

Cha kushangaza huyo mganga ni wa mbali na hajawah kufika nyumbani.

Now how comes we can say hiki kitu hakipo?
Mkuu,

Hata mimi naweza kukuambia nenda kona ya makaburini barabara ya United Nations na Maliki Upanga ukichimba hapo utakutana na mauzauza, na utakutana nayo.

Na ukikutana nayo utathibitisha uchawi wangu, wakati sehemu hiyo ilipokaa tu kwa utamaduni wetu lazima mambo kama hayo yawepo.

Na hata ukiyakosa utaambiwa tu hujatazama vizuri, umekosea pa kuchimba, au umekosea masharti.
 
But how comes an exactly place kwanini iwe eneo husika how ?

Nimewahi kushuhudia ramli mkuu na ilimaliza watu randomly kutoka maeneo mbalimbali without them sharing things like food. Kuna familia ningekuwa mwandishi wa habari ningewahoji walioenda kuomba msamaha. How can we explain such phenomenon bro?
 
Unahakikishaje kumalizika kwa hiyo familia kunatokana na hiyo ramli?

Uki document hiyo na kuhakikisha unapata nishani ya Nobel.
 
Unaangalia relationship iliyopo chain ya familia ipo linked. Walianza kufa wanaume wote wanawake wachache ndio walipona. Makaburi yapo na kila week watu walizikwa.
 
Huko Africa hata post mortem wengi hatufanyi, familia inaweza kuisha kwa ugonjwa wa kuambukiza tu kwa sababu wote mnakutana kuna chain ya family, lakini kwa sababu mnaamini uchawi, mnasema uchawi.

Tushaona sana hili.
 
Back
Top Bottom